16/02/2025
Annacollections Fashion Academy Students, ubunifu usio na mipaka , nguo imekuwa gumzo mitandaoni na media mbalimbali , mikono imetumika kutoa nguo ya kifahari na maudhui ya kusisimua hii ndio Tanzania , hii ndio Afrika Vijana wameamua kuleta mabadiliko katika tasnia ya ubunifu .
Bridal master class.
Asante kwa kuwapokea vijana