Directions Contact the organization

DWWT Dignity And Wellbeing For Women Living With HIV (DWWT) , adhere in advocating and mentoring Adolesce

Every form of violence, no matter how invisible, must be named, must be challenged and ended.”
25/09/2026

Every form of violence, no matter how invisible, must be named, must be challenged and ended.”


U=U njoo tujifunze pamoja
25/06/2026

U=U njoo tujifunze pamoja

Leo katika siku ya Watumishi wa Umma katika Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere(MNMA) tumeweza kuunganika na wanafun...
22/06/2026

Leo katika siku ya Watumishi wa Umma katika Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere(MNMA) tumeweza kuunganika na wanafunzi na watumishi katika kutoa elimu na taarifa sahihi juu ya masuala mazima ya VVU na UKIMWI.

Leo, tarehe 29 Aprili 2026, DWWT kupitia Mratibu wake, Bi. Neema Mashaka, tumewasilisha tuzo katika ofisi za Women Fund ...
29/04/2026

Leo, tarehe 29 Aprili 2026, DWWT kupitia Mratibu wake, Bi. Neema Mashaka, tumewasilisha tuzo katika ofisi za Women Fund Tanzania Trust zilizopo Mbezi Beach, Dar es Salaam.

Tuzo hiyo ilipokelewa kwa furaha na Bw. Carol Mango kwa niaba ya Mkurugenzi wa taasisi.

Uongozi wa WFT umeshukuru kwa kutambua mchango wao katika kuwawezesha wanawake nchini.

Address

Mbezi Chini
Dar Es Salaam
14121

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00
Saturday 09:00 - 16:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DWWT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to DWWT:

Shortcuts

Share