27/12/2025
Wafugaji tuwe na imani Mungu akipanga kukuinua hata ufugaji unaweza kukufanya kuwa bilionea
Breaking News 🚨🚨
Nabii wa Ghana Ebo Noah, ambaye awali alisema dunia itaisha tarehe 25 Desemba na baadaye akamuomba Mungu aiahirishe, sasa ameanza kutoza shilingi milioni 10 kwa ajili ya show zake.
Ameonekana kwenye tamasha la Sarkodie, na hata kuingia kwenye masafina (arks) yake sasa kunalipiwa.
Kwa sasa, jamaa huyo ameanza ujenzi wa jumba kubwa la kifahari mjini Accra.
Huyu huyu ndiye aliyekuwa akisema dunia itaisha hivi karibuni 😃!
Funzo la Maisha:Kwa kweli lawama zinarudi kwa baadhi yenu ambao hamkuweza kuona au kutambua kwamba alikuwa anatengeneza tu maudhui (content).
Mudumoh ✍️