grand_lodge_of_east_af

grand_lodge_of_east_af Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from grand_lodge_of_east_af, Nonprofit Organization, 𝐊𝐀𝐑𝐈𝐀𝐊𝐎𝐎, Dar es Salaam.

Kiapo cha Freemasonry (Masonic Obligation)Kiapo cha Freemasonry, kinachoitwa pia "Obligation", ni ahadi nzito na ya hesh...
21/03/2026

Kiapo cha Freemasonry (Masonic Obligation)

Kiapo cha Freemasonry, kinachoitwa pia "Obligation", ni ahadi nzito na ya heshima ambayo mtahiniwa ama mwanachama hutoa katika kila moja ya digrii tatu anapo ingia:

Entered Apprentice

Fellowcraft

Master Mason

Kupitia kiapo hiki, mwanachama anaahidi kutunza siri za Freemasonry, kuwasaidia ndugu zake wanachama wenzake, na kuishi kwa kulingana na kanuni za undugu huo.

Kiapo hiki hutolewa juu ya Kitabu cha Sheria Takatifu, , ambayo mara nyingi huwa Biblia, ingawa kitabu hicho hutegemea dini ya mwanachama mwenyewe.

7518 – LODGE OF THE COAST

P.O. Box 82935, Mombasa.
Consecrated 28th October, 1957
by R.W. Bro. G. Rivers-Thomas
FM Hall, MOMBASA
2nd Mon 2-4-6-8-10, Last Sat-11, Inst-11.

Wherr by

INST - Indicates months of Installation meeting.

FM - Indicates Freemason's Hall

Email Address: [email protected]

WhatsApp Number:+255759260628'.

LEO TUNASHUHUDIA  DHAMIRA/KUJITOA, UJASIRI NA UNDUGUKatika kila safari kubwa, huwa kunafika wakati wa maamuzi...wakati w...
25/02/2026

LEO TUNASHUHUDIA DHAMIRA/KUJITOA, UJASIRI NA UNDUGU

Katika kila safari kubwa, huwa kunafika wakati wa maamuzi...wakati wa kupiga magoti kwa unyenyekevu, kujishusha ili baadaye uinuke ukiwa umebadilika.

Uanzishwaji (initiation) katika Jumuiya hauhusiani na hofu... Uanzishwaji ni kuhusu ukuaji..wala si kuhusu usiri..bali nidhamu heshima, na Nuru.

Kwa wanachama wapya mnao chukua hatua zenu za kwanza, Hekima iwaongoze, nguvu iwalinde, na Ukweli uwainue juu zaidi.

Kwa ndugu na Dada zangu, tuendelee kujenga kwa uadilifu na umoja.

Kazi inaendelea, Nuru inazidi kung'aa.

3084 - LODGE HARMONY

P.O. Box 40118, Nairobi 00100.
Consecrated 1st May, 1905
Date of Warrant 10th January 1905
by W. Bro. J. Last, WM 3007 EC
FM Hall, Nairobi
1st Tuesday 2-3-4-5-7-9-11-12 Inst-5.

Where by:

FM- Indicates "Freemasons' Hall"

MAS.HALL - Indicates "Masonic Hall"

INST - Indicates "Months of Installation Meeting"

District Grabd master

Dr Seleman N Said - KUHANI MKUU

Whats'APP US: +255759260628

Undugu wa kweli si maneno pekee, ni nuru, hekima na umoja.Katika Ulimwengu ulio jaa giza, tunachagua kusimama pamoja, tu...
25/02/2026

Undugu wa kweli si maneno pekee, ni nuru, hekima na umoja.

Katika Ulimwengu ulio jaa giza, tunachagua kusimama pamoja, tukiongozwa na Ukweli, heshima, na Mbunifu Mkuu wa Ulimwengu.

Freemasonry hutufundisha kujenga siyo tu Mahekalu ya mawe, bali pia kujenga mioyo imara zaidi, familia zenye mshik**ano, na jamii zilizo thabiti.

Najivunia kuwa sehemu ya undugu ambamo maarifa ni nguvu, tabia njema ni uthabiti, na undugu ni wa milele.



3084 - LODGE HARMONY

P.O. Box 40118, Nairobi 00100.
Consecrated 1st May, 1905
Date of Warrant 10th January 1905
by W. Bro. J. Last, WM 3007 EC
FM Hall, Nairobi
1st Tuesday 2-3-4-5-7-9-11-12 Inst-5.

Where by:-

FM - Indicates "Freemasons' Hall"

MAS.HALL - Indicates "Masonic Hall"

INST - Indicates "Months Of Installation meeting"

DISTRICT GRAND MASTER

CONTACT VIA Whsts'APP : +255759260628.

Hiram Abiff ni jina linalotumika sana katika Freemasonry. Kihistoria, Hiram Abiff alikuwa fundi stadi wa ujenzi wa hekal...
19/02/2026

Hiram Abiff ni jina linalotumika sana katika Freemasonry. Kihistoria, Hiram Abiff alikuwa fundi stadi wa ujenzi wa hekalu la Mfalme Solomon, k**a ilinavyotajwa katika Biblia (1 Wafalme 7:13-14).

Katika Freemasonry, Hiram Abiff anawakilisha mtu mwaminifu na mwerevu ambaye aliuawa na watu watatu wabaya kwa sababu alikataa kuwapa siri za ujenzi wa hekalu. Hadithi yake inatumiwa k**a mfano wa uaminifu, ujasiri, na kujitolea.

Katika ibada za Freemasonry, Hiram Abiff anachukuliwa k**a mwanzilishi ama mwasisi wa shirika hili, na kifo chake kinawakilisha mabadiliko kutoka maisha ya kawaida hadi maisha ya kiroho. Hadithi yake inatumiwa kuwafundisha wanachama freemason kuhusu umuhimu wa uaminifu, usiri, na kujitolea kwa ajili ya wengine.

7518 – LODGE OF THE COAST
P.O. Box 82935, Mombasa.
Consecrated 28th October, 1957
by R.W. Bro. G. Rivers-Thomas
FM Hall, MOMBASA
2nd Mon 2-4-6-8-10, Last Sat-11, Inst-11.

Wherr by

INST - Indicates months of Installation meeting.

FM - Indicates Freemason's Hall

Email Address: [email protected]

WhatsApp Number:+255759260628

ANUTTARAAnuttara ni neno kutokea katika falsafa za kiroho za mashariki linalo maanisha "kisichozidiwa"Ni kilele cha Juu ...
19/02/2026

ANUTTARA

Anuttara ni neno kutokea katika falsafa za kiroho za mashariki linalo maanisha "kisichozidiwa"

Ni kilele cha Juu kabisa. Ambacho hakuna kilicho juu yake.

Freemasonry haitumii neno hilo...lakini tunaelewa safari yake kwamba hutumika katika kufundishia maadili.

Sanaa ya Freemasonry haihusu vyeo, wala si kuhusu ngazi. Freemasonry si kwaajili ya kujikusanyia shahada/digrii k**a tuzo.

Bali Freemasonry ni kuhusu kusafishwa kwa nafsi zetu za ndani.

Anuttara haihusiani na ukamilifu wa hali ya chini/ego. Bali ni utambuzi na ufahamu wa hali ya juu kabisa wa mwanadamu.

Ni kujitawala mwenyewe.

Na si kutawala wengine, si makofi na wala si sifa.

Bali ni Kujidhibiti, ni usawa, ni uwazi wa akili

Katika Ubudha neno Anuttara lina maanisha "kuamka kwa Ufahamu"...ambayo ni hali ya uelewa iliyo juu ya udanganyifu.

Ambapo katika Freemasonry tunaweza kuiita hali hiyo "Nuru"

Kadri mtu amavyo zidi kujitafuta ndani ya nafsi yake mwenyewe, ndivyo anavyo zidi kutambua zaidi ni kiasi gani hajui

Unyenyekevu ndiyo mlango wa kuingilia

Freemason wa kweli hatafuti kuwa bora kuliko wengine, bali hutafuta usawa na ulinganifu wa ndani ya nafsi yake.

Ambao ni ulinganifu ama usawa kati ya Mawazo na matendo. Kati ya wajibu na mwenendo. Kati ya tabia ya ndani na matendo ya nje.

"Kisichozidiwa" yaani Anuttara haimaanishi kuwa kipo juu ya wengine bali ina maanisha kwamba "kuwa juu ya yule uliye kuwa jana" kumaanisha kujiboresha kuwa bora zaidi kuliko ulivyo kuwa jana, kuliko ulivyo kuwa mwaka ulio pita.

Ni kuacha ujinga wa jana, kuacha udhaifu wa jana kujiboresha kuwa bora zaidi leo kuliko ulivyokuwa jana

Hicho ndicho kitu pekee kilicho kusudiwa katika neno Anuttara linalo maanisha "kisichozidiwa"

Utafutaji wa Anuttara ni usafishwaji wa juu kabisa wa nafsi zetu, ambayo ni kazi ya maisha yote.

3559 - LODGE MENENGAI
P.O. Box 133, Nakuru.
Consecrated 27th January, 1912
by R. W. Bro. R.G. Bland
FM Hall, NAKURU
2nd Fri 1-3-5-7-9-11, Inst-5.

Where by;-

FM - Indicates "Freemasons' Hall"

MAS.HALL - Indicates "Masonic Hall".

INST - Indicates "Months Of Installation Meeting"

DISTRICT GRAND MASTER

HIGHT PRIEST - KUHANI MKUU

DR SELEMAN N. SAID

Whats'Apo: 0759 260 628

Mah the Light be with you
29/11/2025

Mah the Light be with you

22/09/2025
"Naomba wana wa mjane (masons) na wawe Nuru za maarifa wakati wote (katikati ya Ulimwengu) zinazo angazia kazi za kila s...
22/09/2025

"Naomba wana wa mjane (masons) na wawe Nuru za maarifa wakati wote (katikati ya Ulimwengu) zinazo angazia kazi za kila siku. Ukweli wa haki na uzuri katika kila kitendo kinacho tokana na juhudi zetu"

Freemasonry ni sayansi ya alama (za mafumbo), ambayo , kwakupokea masomo na mafunzo yake yaliyo sahihi, safari ya utafut...
21/09/2025

Freemasonry ni sayansi ya alama (za mafumbo), ambayo , kwakupokea masomo na mafunzo yake yaliyo sahihi, safari ya utafutaji wa Ukweli huanzishwa. Na ukweli huo unajumuisha na kuhusisha ufahamu wa hali ya juu kuhusiana na asili ya uungu. Asili ya mwanadamu ya mungu na Roho ya nwanadamu.

Jumuiya ya Freemasons au udugu wa Freemasons kwa asili yake ni mfumo wa falsafa au mfumo wa maadili ya kijamii yanayofundishwa (kwa wanachama wake) kupitia alama, mifano/mafumbo, na kupitia mihadhara mbalimbali kulingana na misingi ya ukweli, ni maadhimisho ambayo hulenga kukuza utulivu wa tabia, maadili na uraia mwema.

HIRAM ABIFF: MBUNIFU MKUU KATIKA HADITHI YA UASHI.Ikiwa utachimba kiundani kuhusu hadithi za Freemasonry, basi utagundua...
20/09/2025

HIRAM ABIFF: MBUNIFU MKUU KATIKA HADITHI YA UASHI.

Ikiwa utachimba kiundani kuhusu hadithi za Freemasonry, basi utagundua kwamba mhusika wa kufikirika anaye fahamika k**a Hiram Abiff, ni mtu aliye heshimiwa na anaye heshimika sana katika Freemasonry, hasa wakati wa Ujenzi wa Hekalu la Mfalme Suleman. Katika sanaa hii ya mfano wetu inamuonyesha Hiram Abiff k**a Mjenzi mkuu na mbunifu mkuu aliyepewa kazi ya ufundi wa kimungu wa hekalu la kale.

Hii ni kwaajili ya wale wanao vutiwa na historia ya Uashi, usanifu, pamoja na hadithi za mafumbo ambazo huunda msingi wa mila za Freemasonry na ishara zake.

LANGO LA KUANGAZIWA / KUELEKEA MWANGAZA WA KIROHO.Tambua ushawishi na mvuto wa Hekalu la Nuru la Freemasons kupitia mfan...
20/09/2025

LANGO LA KUANGAZIWA / KUELEKEA MWANGAZA WA KIROHO.

Tambua ushawishi na mvuto wa Hekalu la Nuru la Freemasons kupitia mfano huu wa ajabu.

Alama katika picha hii inawakilisha Hekalu likisimama k**a kielelezo cha mwangaza. Ikiwakaribisha na kuwaalika wanaotafuta nuru kusogea na kuingia kwenye ulimwengu wa Hekima na mwangaza.

Hili ni sawa kwa wale wanaovutiwa na kina cha mafundisho ya mifano ya freemasonry na wenye hamu ya ukuaji wa kiroho na kielimu.

NDANI YA ELIMU ZA SIRI ZA MAFUMBO: KUNA MLANGO WA SIRI WA FREEMASONRY.Ingia katika Ulimwengu wa kushangaza wa Freemasonr...
20/09/2025

NDANI YA ELIMU ZA SIRI ZA MAFUMBO: KUNA MLANGO WA SIRI WA FREEMASONRY.

Ingia katika Ulimwengu wa kushangaza wa Freemasonry kupitia mfano huu wa kuvutia ambao unaonyesha watu walio jivika mavazi ya kujifunika mpaka vichwa vyao wakiingia kuelekea mlango wa ajabu wa siri, ulio vikwa taji kupitia alama ya Kimasoniki.

Mfano huu katika picha una lengo la kuwakaribisha na kuwaalika watazamaji wanao tafuta nuru kuelekea katika eneo la usiri na mila, ili kujifunza na kutekeleza Ibada za kale za siri ambazo huvuka vizingiti vya kibinadamu.

Hali ya giza pamoja na hamu au kuvutiwa kutaka kujua visivyo julikana vimejumuishwa kwa pamoja na ishara ya Freemasonry katika picha ya mfano.

Address

𝐊𝐀𝐑𝐈𝐀𝐊𝐎𝐎
Dar Es Salaam

Telephone

+255757567678

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when grand_lodge_of_east_af posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to grand_lodge_of_east_af:

Share