Winning GRACE Ministries International

Call Directions Contact the organization

Winning GRACE Ministries International We are out to preach to the people of God the Gospel of our Lord Jesus Christ. The core message is the word of Grace!

Big shout out to my newest top fans! đź’Ž Neema Jerome MlangiDrop a comment to welcome them to our community,
27/08/2026

Big shout out to my newest top fans! đź’Ž Neema Jerome Mlangi

Drop a comment to welcome them to our community,

Isaiah 60:11 - Every closed door for your Breakthroughs will be flying open as God will be taking over your battles. Com...
22/08/2026

Isaiah 60:11 - Every closed door for your Breakthroughs will be flying open as God will be taking over your battles. Come and worship with us this Sunday. See you @ Winning GRACE Ministries International.

27/07/2026

Your week is blessed!

Jina la Bwana  libarikiwe Kwa ibada ya juma pili ya kibali cha Kiungu katika picha. Hakika tumemuona Mungu Kwa kibali ch...
28/05/2023

Jina la Bwana libarikiwe Kwa ibada ya juma pili ya kibali cha Kiungu katika picha. Hakika tumemuona Mungu Kwa kibali chake katika Kanisa la WINNING GRACE MINISTRIES INTERNATIONAL lililopo kitunda Police mkabara na Shule ya Blessed Hill. Karibu sana katika ibada zetu Kila juma pili saa Nne kamili asubuhi Hadi saa sita mchana.

21/05/2023
Katika ibada ya juma pili, tumemuona Mungu! Hakuna kucheleweshwa Tena. Tume batizwa na kasi ya Kiungu katika kutimiza ha...
21/05/2023

Katika ibada ya juma pili, tumemuona Mungu! Hakuna kucheleweshwa Tena. Tume batizwa na kasi ya Kiungu katika kutimiza hatima yetu. Karibu sana Winning GRACE Ministries International . Tupo Kitunda Police mkabara na Shule ya Blessed Hill. BARIKIWA NA BWANA YESU.

“Na watu wangu watakaa katika kao la amani; na katika maskani zilizo salama, na katika mahali pa kupumzikia penye utuliv...
30/01/2023

“Na watu wangu watakaa katika kao la amani; na katika maskani zilizo salama, na katika mahali pa kupumzikia penye utulivu.” — Isaya 32:18 (Biblia Takatifu)

Bwana akutulize na kustareheshwa kuanzia Leo iliupate amani ya kweli katika jina la Yesu!

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255628111484

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Winning GRACE Ministries International posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Winning GRACE Ministries International:

Shortcuts

Share