02/09/2026
♻️ TEKNOLOGIA YA BAYOGESI ♻️
Bayogesi ni nishati jadidifu inayozalishwa kutokana na kuoza kwa mbolea ya mifugo, mabaki ya chakula na taka nyingine zinazooza katika mfumo maalumu usioruhusu hewa ya oxygen kuingia.
✅ Faida za Bayogesi: ➡️ Hupunguza matumizi ya kuni na mkaa
➡️ Hupunguza gharama za nishati majumbani na mashambani
➡️ Hutoa mbolea bora kwa kilimo
➡️ Husaidia kutunza mazingira kwa kupunguza gesi hatari
➡️ Huongeza thamani ya mifugo yako
🌍 Bayogesi ni nishati safi, salama na rafiki kwa mazingira.
📞 Wasiliana nasi: +255654498900
+255786285200
'ombe