mdh_tanzania

mdh_tanzania MDH is an NGO that focuses primarily on public health service, education and research in Tanzania

In collaboration with the  and  continues to strengthen Infection Prevention and Control (IPC) across health facilities ...
04/06/2026

In collaboration with the and continues to strengthen Infection Prevention and Control (IPC) across health facilities creating safer environments for both recipients of care and healthcare workers.
Hand hygiene remains a cornerstone of these efforts, breaking the chain of infection and significantly reducing healthcare associated infections. Through sustained advocacy, mentorship, and system strengthening, we are reinforcing the simple yet powerful practice of clean hands to save lives every day.

MDH, kwa kushirikiana na Wizara ya Afya Tanzania , tumeendelea kuimarisha huduma za kinga na uchunguzi wa VVU kupitia hu...
03/06/2026

MDH, kwa kushirikiana na Wizara ya Afya Tanzania , tumeendelea kuimarisha huduma za kinga na uchunguzi wa VVU kupitia huduma za mkoba katika jamii mbalimbali ikiwemo ya Luganjomtoni Fishing Camp, Kijiji cha Luganjomtoni, Wilaya ya Kaliua, Mkoa wa Tabora.

Wanajamii walipatiwa elimu kuhusu VVU/UKIMWI, matumizi ya Kipimo cha Jipime (HIV Self-Test) na dawa za kinga dhidi ya VVU (PrEP). Huduma hizi zililenga kuongeza uelewa, kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya na kuwafikia wananchi waliopo katika maeneo yenye uhitaji mkubwa wa huduma.

Jitihada hizi zinaendelea kuonesha mafanikio ya ushirikiano kati ya MDH, Serikali na jamii katika kuimarisha upatikanaji wa huduma za VVU, kuhamasisha upimaji wa hiari na kuchangia katika kupunguza maambukizi mapya ya VVU.

Eid Al Adha Mubarak.
27/05/2026

Eid Al Adha Mubarak.

Until Everyone is Healthy
26/05/2026

Until Everyone is Healthy

Until Everyone is Healthy
23/05/2026

Until Everyone is Healthy

Through the LAB4HEALTH Project, mdh_tanzania  in collaboration with Wizara ya Afya Tanzania  and with support from PEPFA...
22/05/2026

Through the LAB4HEALTH Project, mdh_tanzania in collaboration with Wizara ya Afya Tanzania and with support from PEPFAR through CDC, continues to strengthen laboratory systems and improve access to quality diagnostic services across Tanzania.

During FY26 Q2, significant achievements were recorded, including testing of more than 96% of HVL samples and over 99% of HEID samples received. HPV sample collection also increased significantly from 16,502 in Q1 to 34,608 in Q2, reflecting strengthened coordination and expanded testing efforts.

The project has also continued to enhance laboratory data systems, improve supply chain management, support rollout of new diagnostic technologies, and strengthen nationwide monitoring systems to ensure timely and efficient laboratory services for communities.




Until Everyone Is HealthyWizara ya Afya Tanzania mdh_tanzania
14/05/2026

Until Everyone Is Healthy

Wizara ya Afya Tanzania
mdh_tanzania

 Katika ziara ya pamoja na CDC Tanzania iliyoongozwa na Dr. Kazitanga, ikishirikisha Dr. Dennis na Jonathan, timu hiyo y...
14/05/2026

Katika ziara ya pamoja na CDC Tanzania iliyoongozwa na Dr. Kazitanga, ikishirikisha Dr. Dennis na Jonathan, timu hiyo ya wataalamu ya afya ilijionea juhudi kubwa zinazofanywa na Ndala Hospital iliyopo Wilaya ya Nzega mkoani Tabora katika kuimarisha huduma za VVU na kifua kikuu.

Timu hiyo ilivutiwa na mafanikio ya hospitali katika huduma za tiba na matunzo kwa watu wanaoishi na VVU, ambapo asilimia 98 ya wateja wote wamefanikiwa kuwa na kiwango cha virusi chini ya kopi 50, huku asilimia 100 ya wajawazito, wanaonyonyesha na watoto chini ya miaka 15 wakifanikiwa kufubaza virusi vya UKIMWI.

Aidha, timu hiyo ilishuhudia ubora wa uchunguzi wa VVU na dalili za kifua kikuu kwa wateja wanaofika OPD, ujazaji mzuri wa rejista za uchunguzi pamoja na upatikanaji endelevu wa dawa za kifua kikuu.

Mafanikio haya yanaonyesha kujitolea, ushirikiano na mshikamano wa timu ya MDH na Ndala Hospital katika kuimarisha mapambano dhidi ya VVU, UKIMWI na kifua kikuu katika jamii.

Until everyone is Healthy
13/05/2026

Until everyone is Healthy

mdh_tanzania  tulipata fursa ya kufanya ziara ya pamoja na timu kutoka CDC Tanzania katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
13/05/2026

mdh_tanzania tulipata fursa ya kufanya ziara ya pamoja na timu kutoka CDC Tanzania katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera. Ziara hiyo ilihusisha kutembelea na kujionea utekelezaji wa huduma katika vitengo mbalimbali ikiwemo huduma za Baba, Mama na Mtoto, huduma za upimaji na kinga dhidi ya maambukizi ya VVU, pamoja na huduma za maabara, mnyororo wa dawa na vifaa tiba.

Ziara hiyo ilikuwa sehemu ya kuendelea kuimarisha ushirikiano katika kuboresha huduma za afya, kujenga uwezo wa watoa huduma, na kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora, endelevu na zenye ubora unaostahili.

Kupitia ushirikiano kati ya , , CDC Tanzania pamoja na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera, tunaendelea kuimarisha mifumo ya huduma za afya kwa manufaa ya wananchi.





Address

Plot #802, Mwai Kibaki Road, Mikocheni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 17:00
Tuesday 07:30 - 17:00
Wednesday 07:30 - 17:00
Thursday 07:30 - 17:00
Friday 07:30 - 17:00

Telephone

+255222771656

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mdh_tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share