23/09/2024
Je unajua kuna uhusiano kati ya hatua ya ukuaji wa Asasi yako na Fundraising Efforts?
Japokuwa globally hakuna consensus ya namna ipi ni sahaihu katika kukategorize Nonprofits/NGO, generally speaking kuna hatua 3 za ukuaji wa NGO ambazo ni:
[1]Small NGOs
[2]Mid -level/Medium NGOs
[3]Large NGOs.
Katika makala Hii tunaangalia uhusiano kati ya hatua za ukuaji wa Asasi za Kijamii na Fundraising kutoka level ya chini kwenda level ya juu.
Kutokana na sheria za Tanzania, NGOs zinaweza kusajiliwa katika level (ngazi) k**a nne hivi (level za usajili ambazo zinainform ngazi za utendaji kazi kijiografia), yaani kusajiliwakufanya kazi ngazi ya:
[1]Wilaya
[2]Mkoa
[3]Taifa
[4]Kimataifa
Sasa japokuwa hizi bdizo ngazi za usajili wa Asasi hizi, ngazi hizi za usajili SIZO ambazo zinafanya Asasi husika kuwa katika ngazi/hatua ya ukuaji (Small, Medium au Large), la hasha!, sivyo.
Badala yake kuna mambo kadhaa ambayo ndio huwa yanatumika kudetermine/Kusema shirika/Asasi fulani ipo katika level fulani ya ukuaji, na katika mambo hayo, mambo makubwa mawili ndiyo yanatumiaka zaidi kueleza hatua ya ukuaji wa Asasi husika, nayo ni:
[1]Idadi ya waajiriwa (Numbers of employees na level of specialization ).
[2] Kiwango cha budget ya asasi husika kwa mwaka (Funding Level & Budget)
Tuanze na jambo moja , moja.
[1]Idadi ya waajiriwa.
>>> Wajiriwa 1-49 (asasi ndogo (small non profit organization)
>>> Waajiriwa 50-200 (Level ya kati(Medium non profit organization).
>>> Waajiriwa zaidi ya 200 (Asasi kubwa (Large non profit organization).
[2]Ukubwa Bajeti ya mwaka
>>> Chini ya Dola $100,000 sawa na Tshs 272,571,900 kwa mwaka (asasi Ndogo).
>>> Zaidi ya Dola $100,000 mpaka dola Million mia tisa na tisini na tisa ($999,000,000)-- Level ya kati (Medium Non Profit)
>>> Zaidi ya Dola milioni kumi [$ 10, 000,000] Level kubwa (Large non profit).
Mambo haya mawili yanachangia kwa kiasi kikubwa kudetermine level ya ukuaji wa Asasi
Mambo mengine ambayo pia yanaweza kuangaliwa ni
[3]Matumizi ya Teknolojia na mifuo (Level of softifications.)
>>> Asasi ndogo--Kazi nyingi kutekelezwa kwa njia ya makaratasi (Paper based).
>>> Asasi za level ya kati--Kazi nyingi kutekelezwa kwa kutumia Digitalized system, karatasi kidogo sana.
>>> Asasi za level ya juu(kubwa) unakuta Kazi karibu zote kutekelezwa kwa njia ya mifumo ya kisasa (digitalized system).
[4] viwango vya Ubobevu wa wafanyakazi (level of employee specialization)
>>>Mara Nyingi kwa small Nonprofits/NGO utakuta mtu mmoja anafanya majukumu mengi kwa sababu unakuta pia wafanyakazi ni wachache, na hata idara au vitengo bado ni vichache ukilinganisha na Medium na Large Nonprofits/NGOs
Sasa Uhusiano wa Hatua ya Ukuaji na Fundraising ni Upi?
Wakati wa kuomba Fund kutoka kwa Donors huwa wanaonesha Kigezo cha kiwango cha pesa ambazo asasi wanayoihitaji kufanya nayo kazi iwe imekifikia (uwezo wa kumanage Fund kiasi kadhaa) kwa hiyo kutokana na mchanganuo huu unaweza kuona moja kwa moja kuwa level yako inaendana na matakwa hayo au la....
Kuhakikisha haupitwi na mada k**a hii, na nyingine nyingi, hasa kuhusiana na jinsi ambavyo unaweza kuongeza uwezo wako na wa asasi yako kupata wafadhili, kuboresha utendaji na kuwa endelevu , jiunge na group letu la whatsapp kupitia link iliyopo kwenye BIO
[23/09, 06:25] Afya Maridhawa: Je unajua kuna uhusiano kati ya hatua ya ukuaji wa Asasi yako na Fundraising Efforts?