Shika Kalamu

Shika Kalamu Registered NGO - Aiming to Provide Students Self Awareness, School Equipments & Basic Needs

Happy Eid Al Adha
27/05/2026

Happy Eid Al Adha

Happy Mother's Day
10/05/2026

Happy Mother's Day

Nuru Ya Mtaa πŸ’‘ Evening GalaTunathamini uwepo wenu, Tunathamini mchango wenu kwa kuwashika mkono vijana.
04/05/2026

Nuru Ya Mtaa πŸ’‘ Evening Gala

Tunathamini uwepo wenu, Tunathamini mchango wenu kwa kuwashika mkono vijana.

Nuru Ya Mtaa πŸ’‘ Evening GalaTunathamini uwepo wako, Tunathamini mchango kwa kuwashika mkono vijana.
04/05/2026

Nuru Ya Mtaa πŸ’‘ Evening Gala

Tunathamini uwepo wako, Tunathamini mchango kwa kuwashika mkono vijana.

Nuru Ya Mtaa πŸ’‘ Evening GalaTunathamini uwepo wenu, Tunathamini michango yenu kwa kuwashika mkono vijana.
04/05/2026

Nuru Ya Mtaa πŸ’‘ Evening Gala

Tunathamini uwepo wenu, Tunathamini michango yenu kwa kuwashika mkono vijana.

Nuru Ya Mtaa πŸ’‘ Evening GalaMwenyekiti   akitoa wasilisho fupi juu ya program yetu mpya ya Nuru Ya Mtaa πŸ’‘ mapema 2/5/2026...
04/05/2026

Nuru Ya Mtaa πŸ’‘ Evening Gala

Mwenyekiti akitoa wasilisho fupi juu ya program yetu mpya ya Nuru Ya Mtaa πŸ’‘ mapema 2/5/2026 katika halfa hiyo ya chakula cha usiku iliofanyika Masaki 305 Karafuu.

# MadiniTalks

04/05/2026

Nuru Ya Mtaa πŸ’‘

Tunashukuru kwa wote waliochangia fundrise hii ya kuinua vijana na wanafunzi tumefikia lengo 66% Mungu Awabariki sana! Tunapokea Ahadi na changizo

Mawasiliano
0658722995
Email [email protected]

Nuru Ya Mtaa, Kesho Tunayajenga!!Tukutane kesho kwenye chakula maalumu cha jioni chenye lengo la ku fundrise kiasi cha k...
01/05/2026

Nuru Ya Mtaa, Kesho Tunayajenga!!

Tukutane kesho kwenye chakula maalumu cha jioni chenye lengo la ku fundrise kiasi cha kusaidia mitaji ya biashara kwa vijana wenye uhitaji.

Date : 02 may 2026
Venue : 305 Karafuu
Time: 16:00

Thibitisha uwepo wako kwa kupiga simu no : 0658722995

Sote Tunakaribishwaa!!

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shika Kalamu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Shika Kalamu:

Share