Accountability Tanzania-AcT

Accountability Tanzania-AcT Accountability Tanzania (AcT) is a non-profit organization which was established in 2021 and officially got registration in 2023.

AcT dedicated to promoting resource governance and environmental conservation in the context of sustainable development.

21/06/2025

Great

09/12/2024

Kwa Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Shikamoo,

Kwa heshima kubwa na fahari ya dhati, mimi Bw. Stephen Rusimbi, nachukua nafasi hii kukusifu na kukupongeza kwa uongozi wako wa kipekee na hatua za ajabu ambazo umeleta kwa taifa letu pendwa, Tanzania. Uongozi wako k**a Rais umekuwa taa ya matumaini, mabadiliko, na maendeleo, ukihamasisha wananchi wengi na kujipatia heshima ndani na nje ya nchi.

Ushupavu wako na dhamira ya dhati ya kuleta maendeleo kwa taifa letu ni wa kipekee kabisa. Kuanzia mipango yako ya kiuchumi yenye maono makubwa hadi jitihada zako za dhati za kuboresha huduma za kijamii, miundombinu, na afya, uongozi wako umeonyesha huruma ya kweli kwa watu wa Tanzania. Chini ya uongozi wako, taifa limeona juhudi kubwa katika kuendeleza usawa wa kijinsia, kuwawezesha wanawake, na kuimarisha umoja miongoni mwa jamii zote.

Tunatambua pia mchango wako mkubwa katika diplomasia na ushirikiano wa kimataifa, ambao umeinua hadhi ya Tanzania katika jukwaa la kimataifa. Uwezo wako wa kushirikiana na viongozi wa dunia na kuleta ushirikiano kwa manufaa ya wananchi ni ushahidi wa umahiri wako wa hali ya juu wa uongozi na maono thabiti.

Vilevile, tunapongeza juhudi zako za kujitolea katika kuhakikisha uwazi na utawala bora, ambavyo vinatoa msingi wa siku za baadaye zenye mwanga na uwajibikaji kwa Tanzania. Wewe ni mfano wa kuigwa na chanzo cha motisha, siyo tu kwa watu wa Tanzania, bali pia kwa Afrika na dunia kwa ujumla.

Uongozi wako unaonyesha sifa za uvumilivu, hekima, na kujitoa kwa ajili ya wengine. K**a binti wa taifa hili kubwa, kazi yako inaendelea kuleta fahari na matumaini kwa kila Mtanzania, ikitukumbusha kwamba kwa bidii na umoja, tunaweza kufanikisha makuu.

Uendelee kuongoza kwa bidii na dhamira ile ile, na Mwenyezi Mungu akubariki na kukupa nguvu, afya njema, na hekima unapoendelea kuongoza Tanzania kufikia mafanikio makubwa zaidi.

Hongera sana, Mama Samia!
Kwa heshima kubwa na shukrani,

Bw. Stephen Rusimbi

Send a message to learn more

https://accountability.or.tz/gallery/
30/11/2024

https://accountability.or.tz/gallery/

Embark on a captivating visual journey through Accountability Tanzania’s inspiring endeavors and transformative impact on fighting inequality, environmental conservation, climate action, and sustainable agriculture. Witness the evolution of our mission as we showcase moments of change, growth, and...

https://accountability.or.tz/kilibongo-farmer/
04/11/2024

https://accountability.or.tz/kilibongo-farmer/

The center, offers various trainings on organic agriculture techniques, social accountability monitoring (SAM & PETS), Entrepreneurship, Research and Environmental conservations. The 12 acres farm located at Tuangoma- few kilometers from Indian Ocean is an attractive area, where you can learn and ex...

Accountability Tanzania(AcT) inakaribisha mashirika yasiokuwa ya kiserikali NGOs, INGOs, FBOs, mitandao na watu binafsi ...
23/10/2024

Accountability Tanzania(AcT) inakaribisha mashirika yasiokuwa ya kiserikali NGOs, INGOs, FBOs, mitandao na watu binafsi kujiunga nasi katika kuleta uwajibikaji katika rasilimali, mazingira, kilimo hai na mengineyo kwa mujibu wa program zetu, tembelea tovuti yetu na omba kujiunga ili tuisaidie serikali kutatua changamoto zinazowakabila wananchi wetu hasa walio pembezoni, na makundi maalumu. Pia tunatoa mafunzo mbalimbali wasiliana nasi kwa taarifa zaidi.

AcT is an independent Tanzanian Non-Government Organization that empower women, youth, farmers and small-scale fishermen as well as capacity building services to grassroots civil society organizations so as to enhance theireffectiveness in enabling engagement of citizens in sustainable development.....

We are delighted to announce to all Tanzanians and non Tanzanians that Accountability Tanzania is offering various cours...
23/10/2024

We are delighted to announce to all Tanzanians and non Tanzanians that Accountability Tanzania is offering various courses on Resource governance{Public expenditure Tracking System(PETS)&Social Accountability Monitoring (SAM),Conservation agriculture, Natural medicine, Organic agriculture basics, Organic agriculture advanced course and Waste management. KINDLY VISIT OUR WEBSITE https://accountability.or.tz/kilibongo-farmer/ to see our joining instructions, benefits of courses and fee structure. We welcome all to exchange knowledge and skill and transform our people. We also receive request to support groups of farmers, local civil society organizations, coalitions and networks. Dive into our website and social media for more details or contact us through phone number 0783 279 303 or email [email protected] we will reach you.

Accountability Tanzania inayofuraha kuwatangazia asasi zisizo za serikali zilizo katika ngazi za chini (grassroots civil...
26/05/2024

Accountability Tanzania inayofuraha kuwatangazia asasi zisizo za serikali zilizo katika ngazi za chini (grassroots civil society organizations) coalition and networks kuwa tumefungua milango ya ushirikiano katika program zetu za Marine protection, chemical and waste, sustainable agriculture, climate action, resource governance and livelihood and trade. Wasiliana nasi kuwa member wa taasisi. Karibuni sana.

Accountability Tanzania www.accountability.or.tz na ELCT- kusini mashariki katika juhudi za upandaji mikoko kupunguza he...
24/05/2024

Accountability Tanzania www.accountability.or.tz na ELCT- kusini mashariki katika juhudi za upandaji mikoko kupunguza hewa ukaa. karibu tufanye kazi ili kusaidia nchi yetu. Accountability Tanzania inapokea volunteers na mashirika yasiyo ya kiserikali kufanya kazi pamoja katik program ya mabadiliko ya tabia nchi. Wasiliana nasi kwa [email protected]

Shiriki la Accountability Tanzania lashiriki katika upandaji wa mikoko wilaya ya Kilwa . Hii iliambatana na uzinduzi wa ...
04/05/2024

Shiriki la Accountability Tanzania lashiriki katika upandaji wa mikoko wilaya ya Kilwa . Hii iliambatana na uzinduzi wa mradi kwa kupanda mikoko na ufunguzi wa mradi chini ya taasisi ya KKKT na mashirika mbalimbali wilayani kilwa. Katika zoezi hili kiongozi wa ACT alisisitiza sana juu ya wajibu wa wananchi kushiriki upandaji wa mikoko ili kupunguza hewa ukaa, kuzuia mmomonyoko wa udongo na utunzaji wa viumbe mbalimbali vya bahari.

Address

P. 0 BOX 4990
Dar Es Salaam
0000

Opening Hours

Monday 07:30 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 05:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 05:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Accountability Tanzania-AcT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share