08/06/2026
Alhamdulillah! Mradi wa Qurban 2026 umefanyika kwa mafanikio makubwa kupitia Tanzeel Foundation. ππβ¨
Tunatoa shukrani za dhati kwa wadau wote, wafadhili, marafiki, wanachama na wapenda kheri walioungana nasi kwa hali na mali kuhakikisha ibada hii tukufu inawafikia wale wenye uhitaji. Mchango wenu haukuwa tu sadaka ya mnyama wa Qurban, bali ulikuwa chanzo cha furaha, matumaini na tabasamu kwa familia nyingi.
Mwenyezi Mungu awalipe kwa wema wenu, awazidishie kheri na baraka katika mali, afya na familia zenu, na akubali ibada na juhudi zenu zote. Hakika kwa ushirikiano wenu, tumefanikisha kuwafikia wengi zaidi na kueneza spirit ya upendo, mshikamano na kusaidiana katika jamii.
Pamoja tunaweza kwenda mbali zaidi . π€²π
Alhamdulillah! The Qurban 2026 Project has been successfully accomplished through Tanzeel Foundation. ππβ¨
We extend our heartfelt gratitude to all our donors, partners, volunteers, supporters, and well wishers who contributed generously to make this noble initiative possible. Your support was more than just a Qurban donation it brought joy, hope, and relief to many families in need.
May Allah reward you abundantly for your kindness, increase you in goodness and blessings, and grant barakah in your wealth, health, and families. May He accept your sacrifices, generosity, and every effort made towards the success of this project.
Together, we have been able to spread compassion, strengthen community bonds, and bring smiles to many lives.
Together We Can Go Further. π€²π
CommunityImpact GivingBack QurbanProject2026