Convida Funeral Home Company Limited

Convida Funeral Home Company Limited Ukurasa huu unahusu huduma za maazishi zina zotolewa na Convida Funeral Home Company Limited. Ofisi za kampuni zipo Sam Nujoma Rd.

Convida Funeral Home Company LTD ni kampuni inayojihusisha na huduma za maazishi hapa Tanzania. Kampuni ilisajiliwa mwaka 2010 na kuanza kazi rasmi tarehe 03/02/2015. Inatoa huduma za usafirishaji wa marehemu nchi nzima kwa kutumia gari maalumu kwa shughuli za misiba maarufu k**a HEARSES na kusindikizwa na gari ya wafiwa (LIMOUSINE). Kampuni hii pia inatoa huduma za jenga na kukarabati makaburi k

wa mawe maalumu (GRANITE); huduma za majeneza ya aina mbali mbali pamoja na misalaba yake; Huduma za kuratibu misiba endapo mfiwa atahitaji huduma hii; Na mwisho kabisa, kampuni inatoa huduma ya matangazo ya vifo katika blog yetu ( http://convidafuneralhome.blogspot.com/ ) endapo huduma hii itahitajika. baada ya jengo la Tanzanite Tower kutokea Mwenge.

Address

Dar Es Salaam
12254

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Convida Funeral Home Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Convida Funeral Home Company Limited:

Share