prematurebabiestz

prematurebabiestz PBFT HELPS to reduce the number of premature birth and death by making awareness of premature babies

21/03/2026

Eid Mubaraq

11/02/2026

Account number 9120003278377 Premature Babies Organisation Tanzania.
Stanbic Bank
55508937 lipa number voda Premature Babies Organisation Tanzania

09/02/2026

Buku challenge! Elfu moja yako ni tabasamu kwa mama aliejifungua mtoto njiti huku akiwa na hofu ya hatma ya mtoto wake.. Sisi k**a wamama tuliojifungua watoto njiti tumependa kusheherekea siku hii na wazazi wenzetu na kuwapa faraja kwa zawadi na elimu ya kuwatunza watoto hawa ungana nasi kwa kutoa mchango wako au zawadi mchango utumwe kwenye lipa number 55508937 Jina litakuwa premature babies foundation TANZANIA na kwa zawadi tutafute kwa number 0757250118. Karibu tuungane pamoja kumpa faraja mama njiti.

04/01/2026

MALEZI YA MTOTO NJITI BAADA YA MIEZI SITA

Malezi ya mtoto njiti yanahitaji umakini wa hali ya juu, hasa baada ya kufikisha miezi sita.

Kwanza, ni muhimu kuhakikisha mtoto anaendelea kupata multivitamin k**a alivyoelekezwa na mtaalamu wa afya.
Pili, mzazi ahakikishe mtoto anaendelea kwenda kliniki bila kukosa, na kufuatilia afya yake ikiwemo kufahamu uwingi wa damu (HB).

Katika diet, ni muhimu kuongeza vyakula vinavyoongeza damu k**a beetroot.

Mzazi anatakiwa kujua kuwa mtoto huanza kuhesabiwa miezi tangu anapozaliwa, hata k**a alizaliwa kabla ya muda (mtoto njiti).

Hairuhusiwi kumuanzisha mtoto chakula chochote kabla hajafikisha miezi sita, hata maji, kwa sababu maziwa ya mama yana zaidi ya asilimia 70 ya maji.

Baada ya miezi sita:
Wiki ya kwanza, anza na uji laini sana, huku ukizingatia kuangalia reaction yoyote itakayojitokeza mwilini mwa mtoto.

Baada ya hapo, mtoto anaanza kubadilishiwa chakula taratibu, na hii ni mifano ya vyakula vingine zaidi ya uji na mtori, k**a:

Boga lishe

Mtori/boko

Mboga za majani n.k.

Ni vyema kumbadilishia mtoto vyakula ili:

Asiboreke

Kuongeza hamu ya kuonja vyakula mbalimbali

Zingatia kutokuweka sukari nyingi wala chumvi nyingi kwenye chakula cha mtoto.
Epuka asali na maziwa ya ng’ombe kwa mtoto chini ya mwaka mmoja.

Nitaendelea kutoa mifano ya milo ya mtoto kidogo kidogo.

Dr. Idda Averil Luhanga (Mama Chuchi)
✨ Happy New Year ✨

Lovly
29/07/2025

Lovly

Address

Kilwa Road
Dar Es Salaam
3728

Telephone

+255757250118

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when prematurebabiestz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share