Ashuraa Human charity Tanzania

Ashuraa Human charity Tanzania Ashuraa Human Charity Tanzania Serving Humanity/ Education/Healthcare/Economic Upliftment/Orphans/So

MAJI NI UHAI
05/06/2026

MAJI NI UHAI

05/06/2026

Sadaqah yetu inaweza kuleta maji Safi na salama, yenye kutegemewa kwa wale wanaohitaji zaidi, kulinda afya, kurejesha utu, na kudumisha maisha.

Unapotoa kwa ajili ya Allah (SWT), haukidhi haja tu, unatengeneza unafuu wa kudumu ambao unanufaisha familia kila siku.
Hakuna kiasi ambacho ni kidogo sana kinapotolewa kwa moyo wa dhati.

Namba zetu za kupokea Sadaqah ni:-
ACCOUNT
(airtel money)
0696708485
JINA:
ASHURAA HUMAN CHARITY TANZANIA

"Tunawashukuru wale wote wanaotuchangia"

MAWASILIANO
wa.me/+255714987815
Ashuraa Human Charity Tanzania

02/06/2026
"Asante sana kwa ujumbe wako mzuri kwetu"
21/05/2026

"Asante sana kwa ujumbe wako mzuri kwetu"

Gharama zote mpaka kumfikia mlengwa kwa maana ya manunuzi,kuchinja, kugawa kwa wahitaji kwa niaba yako.
15/05/2026

Gharama zote mpaka kumfikia mlengwa kwa maana ya manunuzi,
kuchinja, kugawa kwa wahitaji kwa niaba yako.

Kuchinja ni moja ya ‘ibaadah za Kiislam ambayo inatukumbusha Tawhiyd ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'alaa) na Baraka Zake kw...
15/05/2026

Kuchinja ni moja ya ‘ibaadah za Kiislam ambayo inatukumbusha Tawhiyd ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'alaa) na Baraka Zake kwetu, pamoja na kutupa mafunzo ya utiifu wa baba yetu Ibraahiym kwa Rabb wake na kumpwekesha Allaah. Hivyo ‘ibaadah hii ya kuchinja ni muhimu sana kwa Muislamu, na inatupasa tuizingatie kwa makini na kuitekeleza.
Mawasiliano
wa.me/+255714987815

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255714987815

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ashuraa Human charity Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Ashuraa Human charity Tanzania:

Share