GIRL GUARD Organization

GIRL GUARD Organization This organisation deal with against gender violence about children and Women

20/03/2026

GGO inalaani vikali tukio la ukatili lililotokea Chanika ! kijana Athumani Nyanza kuuliwa na kufukiwa nyuma ya nyumba yake! Jamii inapaswa kutambua Kila mtu ana haki ya kuishi, hivyo ni vyema kujiepusha na tamaa ,wivu na visasi mara nyingi huwa chanzo kikubwa Cha ukatili...Pumzika kwa Amani Athumani πŸ™ 😭

16/03/2026
Hapa katika kikao Cha maandalizi ya kampeni ya Malezi ya PEMBE TATU kuhakikisha inawafikia wananchi wengi ili kumlinda m...
16/03/2026

Hapa katika kikao Cha maandalizi ya kampeni ya Malezi ya PEMBE TATU kuhakikisha inawafikia wananchi wengi ili kumlinda mtoto awe salama...

Mkurugenzi wa GGO akiwa katika Sekondari ya Mbagala Kutowa elimu ya kupinga ukatili wa jinsia ...kauli mbiu Mlinde Mtoto...
16/03/2026

Mkurugenzi wa GGO akiwa katika Sekondari ya Mbagala Kutowa elimu ya kupinga ukatili wa jinsia ...kauli mbiu Mlinde Mtoto awe salama@police DawatitemekeπŸ™

Kampeni ya MALEZI YA PEMBE TATU kuhimiza jamii kushiriki katika ulinzi wa mtoto ,kampeni hii ilifanyika th 12/3/2026 kat...
16/03/2026

Kampeni ya MALEZI YA PEMBE TATU kuhimiza jamii kushiriki katika ulinzi wa mtoto ,kampeni hii ilifanyika th 12/3/2026 kata ya Majohe! Mgeni rasmi Afande Mujema.πŸ™

16/03/2026

Mbagala secondary school is very nice

Tushirikiane kukomesha Ukatili wa mtandaoni kwa wanawake na wasichana kwasababu unadharirisha utu wa mwanamke "Afande In...
30/12/2025

Tushirikiane kukomesha Ukatili wa mtandaoni kwa wanawake na wasichana kwasababu unadharirisha utu wa mwanamke "Afande Inspector SHILA"kupitia Mlimani Redio....

Mkurugenzi wa Girl Guard Organization akigawa madaftari kwa wanafunzi wa shule ya msingi Mvuti sambamba na INSP NGOSO......
12/05/2025

Mkurugenzi wa Girl Guard Organization akigawa madaftari kwa wanafunzi wa shule ya msingi Mvuti sambamba na INSP NGOSO.....hii ni kampeni endelevu ya TUWAWEZESHE WASOME yenye lengo la kuwawezesha watoto wapate elimu @ POLICE@mlinde mtoto awe salama .....,πŸ™πŸ™

Women 's day πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’― ❀️
10/03/2025

Women 's day πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’― ❀️

Mkaguzi msaidizi wa Police Masumbuko Lazaro Ngoso akitowa elimu kwa wanafunzi wa Sekondary ya Kitonga iliyopo Kata ya Ms...
03/02/2025

Mkaguzi msaidizi wa Police Masumbuko Lazaro Ngoso akitowa elimu kwa wanafunzi wa Sekondary ya Kitonga iliyopo Kata ya Msongola wilaya ya ilala DSM... tuwaambie kabla hawajaharibika na Mlinde toto awe salama@ GGO@Police@Chachu ya Jamii@πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ™

Please help children school needs πŸ™
08/01/2025

Please help children school needs πŸ™

Address

Magomeni
Dar Es Salaam

Telephone

+255784896652

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GIRL GUARD Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to GIRL GUARD Organization:

Share