Kidogokidogo Foundation

Kidogokidogo Foundation Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kidogokidogo Foundation, Nonprofit Organization, Buzwagi Street 1016/Masaki, Dar es Salaam.

Ni asasi ya kiraia isiyo ya kibiashara inayoleta wasamaria wema pamoja kutoa misaada kwenye huduma muhimu za kijamii k**a afya na elimu kwa watoto, wanawake na wazee wasiojiweza.

Rujainath Hussein (3) alizaliwa na mguu mmoja mfupi pia tatizo la kushindwa kabisa kutembea. Kidogo Kidogo Foundation im...
06/03/2024

Rujainath Hussein (3) alizaliwa na mguu mmoja mfupi pia tatizo la kushindwa kabisa kutembea. Kidogo Kidogo Foundation imegharamia gharama za vipimo ili aweze kupata viatu tiba vitakavyomsaidia kuweza kutembea.

Pichani ni mtoto Idrissa Hamduni (6) akiwa na Afisa Mawasiliano wa Kidogo kidogo Foundation wakiwa hospitali ya CCBRT si...
31/10/2023

Pichani ni mtoto Idrissa Hamduni (6) akiwa na Afisa Mawasiliano wa Kidogo kidogo Foundation wakiwa hospitali ya CCBRT siku ya upasuaji wa miguu ya mtoto huyo ambaye alizaliwa na matege.

Address

Buzwagi Street 1016/Masaki
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kidogokidogo Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Kidogokidogo Foundation:

Share