R&A and Mo Group

R&A and Mo Group Highest quality law price touch and pick

MC. MTEULE WA SHUGHULI SHEIKH KHAMIS AMIR BIN MZINGA AKIWAJIBIKA NDANI YA TAMASHA LA BAKWATA WALKATHON KATA YA TOANGOMA
23/02/2025

WASHIRIKI WA BAKWATA WALKATHON KATA YA TOANGOMA WANAWAKE KWA WANAUMME WAKICHANGIA HARAMBEE YA UJENZI WA MSIKITI, MADRASS...
23/02/2025

WASHIRIKI WA BAKWATA WALKATHON KATA YA TOANGOMA WANAWAKE KWA WANAUMME WAKICHANGIA HARAMBEE YA UJENZI WA MSIKITI, MADRASSA NA OFISI ZA BARAZA BAKWATA KATA YA TOANGOMA

11/02/2025

MADHAMBI MTU UTAKAPOKUWA PEKEE YAKO: AUSTADH SHABAN MLWALIMU BIN KOGA

24/01/2025

646.7K followers, 8843 likes, 328 comments

22/01/2025

USIKOSE KUFUATILIA DARSA LA MIRATHI KILA JUMAPILI SAA 1 00 JIONI

KIKAO CHA JUVIKIBA KATA YA TOANGOMA KIKIIJADILIANA NA KUPANGA MIKAKATI YA KUKUZA UCHUMI NA UFANISI KATIKA UWAJIBIKAJI. K...
05/01/2025

KIKAO CHA JUVIKIBA KATA YA TOANGOMA KIKIIJADILIANA NA KUPANGA MIKAKATI YA KUKUZA UCHUMI NA UFANISI KATIKA UWAJIBIKAJI. KATIBU HALIMASHAURI ALIHUDHURIA KIKAO HICHO

Katibu Bakwata Wilaya ya Temeke awa Mgeni rasmi Mkutano Mkuu wa UWAMAA.Katibu wa Bakwata Wilaya ya Temeke Ndugu Mudhihir...
02/01/2025

Katibu Bakwata Wilaya ya Temeke awa Mgeni rasmi Mkutano Mkuu wa UWAMAA.

Katibu wa Bakwata Wilaya ya Temeke Ndugu Mudhihiri Mchoye amehudhuria katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Walimu wa Madrasa Kata ya Azimio (UWAMAA) uliofanyika siku ya Jumapili Desemba 29, 2024 katika ukumbi wa Idd Nyundo uliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.

Akizungumza na Walimu hao Ndugu Mchoye amesema kuwa, Walimu wa Kata ya Azimio ni mfano wa kuigwa kwa Kata nyingine za Wilaya ya Temeke kwa kuanzisha Umoja huo.

Aidha, Ndugu Mchoye amewaasa viongozi wa Umoja kusimamia malengo ya kuanzishwa kwa Umoja huo ili kuleta tija kwa Mwalimu mmoja mmoja, Kata ya Azimio na Uislamu kwa ujumla.

Kadhalika, kutokana na wimbi kubwa liliojitokeza la baadhi ya vikundi kujinasibisha na madrasa na kuonekana vikifanya mambo yasiyofaa katika jamii yanayodhalilisha Waislamu na Uislamu, Katibu huyo ameutumia Mkutano Mkuu huo kuonya na kutoa maagizo kwa Madrasa zote zilizopo Kata ya Azimio kubaini na kuzichua Madrasa au vikundi vinavyofanya mambo hayo ambayo kimsingi yanachafua taswira njema ya Uislamu.

Katika Mkutano huo, Ndugu Mchoye amewahakikishia Walimu kuwa ofisi yake ipo wazi muda wote na ipo tayari kutoa ushirikiano katika jambo lolote ambalo watahitajia msaada.

Imeandaliwa na,
Issa Mpendu - Amiri Idara ya Habari na Mawasiliano, Juvikiba (W) Temeke.

Imeletwa kwenye mitandao na Mohammed Kazungu Magina

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam
PONDE

Telephone

+255715309320

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when R&A and Mo Group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share