Everlasting Legal Aid Foundation

Everlasting Legal Aid Foundation Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Everlasting Legal Aid Foundation, Nonprofit Organization, Dar es Salaam.

Everlasting Legal Aid Foundation a non governmental organization registered according Tanzania Laws for purpose of provide legal aid services for indigent people or Marginalized with a conflict in legal issues

27/11/2025

Ni vyema kuanzishwa mpango maalumu wa kitaifa "Strategic Police Citizens Dialogue Meetings" kwa lengo la kusikiliza malalamiko ya wananchi hadharani na kutoa elimu ya uzalendo na amani na hii inaweza kusaidia kurejesha imani kati ya wananchi na vyombo vya dola na kutengeneza maridhiano ya kweli yenye umoja na mshik**ano.

Asema, Dr. Khamis Masoud, Mkurugenzi wa Everlasting Legal Aid Foundation.

16/11/2025

Wazee wetu walikuwa na namna ya kugundua adui kabla hajafika, leo hii, hatuna silaha za kisasa tulizobuni wenyewe. Kwa nini tusitumie hekma ya uchawi kwa manufaa ya Taifa?

Dr. Khamis Masoud, asema hayo na kuhitaji Mjadala Asilia wa Ujasusi na Uchawi kwaajili ya Upelelezi.

12/11/2025

Ni vyema kufanya kazi kwa kuzingatia sheria na maadili ya utumishi wa umma bila kusahau miiko ya uongozi. Sheria ni ulinzi siyo silaha, polisi ni mlinzi wa sheria na haki na siyo mkandamizaji. Watumishi wa umma wanapaswa kulinda siri za serikali.

Asema, Dr. Khamis Masoud, Mkurugenzi wa Everlasting Legal Aid Foundation

10/11/2025

Ni vyema taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) kutoa taarifa kwa umma juu ya hatua walizochukua na idadi ya watumishi wa umma wanaotuhumiwa kwa kuingiza raia wa kigeni na kuwahifadhi kinyume na sheria.

Inasemekana kuwa baadhi ya raia wa kigeni waliingia kinyume na sheria na kusababisha vurugu zilizotokea katika Taifa letu. Mtu yeyote awezi kuingia nchini na kuishi kinyume na sheria k**a hatoi rushwa kwa baadhi ya maafisa wa umma wasio waadilifu.

Asema, Dr.Khamis Masoud Mkurugenzi wa Everlasting Legal Aid Foundation.

27/10/2025

Tumezoea kuona teknolojia k**a 'computer' na 'drone' lakini tunasahau ya kuwa Afrika nayo ina teknolojia ya kiroho kupitia Jadi ambayo ikiwa itawekwa katika mfumo wa kisera inaweza kuwa mkombozi wetu.

Asema Dr. Khamis Masoud, Mkurugenzi wa Everlasting Legal Aid Foundation alipokuwa akiwasilisha mjadala wa kisera wa sheria ya uchawi mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Kwa nini tunaitupilia mbali hekima ya mababu zetu kwa kuitafsiri uchawi k**a kosa la jinai kwa mujibu wa sheria ya uchaw...
26/10/2025

Kwa nini tunaitupilia mbali hekima ya mababu zetu kwa kuitafsiri uchawi k**a kosa la jinai kwa mujibu wa sheria ya uchawi Sura ya 18 iliyowekwa tangia mwaka 1928 na serikali ya uingereza, kwa nini tusiandike historia mpya kwa kuutafsiri uchawi k**a jadi ya Muafrika, k**a chanzo cha uvumbuzi ulinzi wa Taifa, au maarifa ya asili?

Ahoji, Dr. Khamis Masoud, wakati wa mjadala na waandishi wa habari kuhusiana na sheria ya uchawi iliyopo Tanzania.

Mahak**a ya wazi ni moyo wa utawala wa sheria. Kukosekana kwa uwazi hujenga mashaka, hofu, na kuzalisha imani hafifu kwa...
20/10/2025

Mahak**a ya wazi ni moyo wa utawala wa sheria. Kukosekana kwa uwazi hujenga mashaka, hofu, na kuzalisha imani hafifu kwa jamii.

Asema, Dr. Khamis Masoud, Mkurugenzi wa Everlasting Legal Aid Foundation

19/10/2025

Ni vyema kuwepo na Mahak**a ya kidigitari na kuwekwa vyema kwenye sheria na sera ili kurahisisha na kutoa tafsiri sahihi ya mahak**a ya wazi (Open Court or open Justice).

Asema, Dr. Khamis Masoud

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255677044256

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Everlasting Legal Aid Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Everlasting Legal Aid Foundation:

Share