Kinondoni Scouts Local Association

Kinondoni Scouts Local Association Official Page for Kinondoni Scouts Local Association
(1)

Tarehe 17 Aprili, Wilaya ya Kinondoni ilipata heshima ya kupokea Mwenge wa Uhuru. Kinondoni Scouts tulisimama kwa nidham...
20/04/2026

Tarehe 17 Aprili, Wilaya ya Kinondoni ilipata heshima ya kupokea Mwenge wa Uhuru. Kinondoni Scouts tulisimama kwa nidhamu, heshima na uzalendo, kuunga mkono ujumbe wa mwenge katika kujenga taifa lenye maadili na mshikamano 🇹🇿⚜️

Kamishna kazini ⚜️Uongozi sio cheo, ni wajibu.Tunalea viongozi wa kesho leo. 🇹🇿          ScoutingLife TanzaniaScouts Lea...
29/03/2026

Kamishna kazini ⚜️
Uongozi sio cheo, ni wajibu.
Tunalea viongozi wa kesho leo. 🇹🇿

ScoutingLife TanzaniaScouts LeadByExample FutureLeaders ScoutSpirit

17/03/2026
Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, tunatoa pongezi za dhati kwa Matron wa Wilaya ya Kinondoni kwa kazi kubwa n...
08/03/2026

Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, tunatoa pongezi za dhati kwa Matron wa Wilaya ya Kinondoni kwa kazi kubwa na ya kujitolea wanayoifanya kila siku. Uongozi wenu, bidii na moyo wa kuwahudumia wengine umeendelea kuwa mfano wa kuigwa kwa jamii nzima. Tunawashukuru na tunawatakia heri na mafanikio zaidi katika kuwahudumia wananchi. Happy Women’s Day! 🌸

Picha ya pamoja kati ya Viongozi wa Skauti na TAKUKURU baada ya semina ya elimu ya rushwa Wilaya ya Kinondoni.Tunaendele...
27/02/2026

Picha ya pamoja kati ya Viongozi wa Skauti na TAKUKURU baada ya semina ya elimu ya rushwa Wilaya ya Kinondoni.

Tunaendelea kujenga kizazi chenye maadili, nidhamu na uwajibikaji.💪🏾

24/02/2026

Kinondoni tunaenda mbele kwa mpangilio na misingi sahihi. ⚜️

Kazi iendelee 💼⚜️Kamati Tendaji tumekaa, tumejadili, sasa ni utekelezaji. Kinondoni tunaenda mbele!
23/02/2026

Kazi iendelee 💼⚜️
Kamati Tendaji tumekaa, tumejadili, sasa ni utekelezaji. Kinondoni tunaenda mbele!

Kamati Tendaji imara, Skauti imara 💚⚜️Tunapanga, tunasimamia, tunatekeleza.Kinondoni tunaenda mbele kwa nidhamu na uwaji...
22/02/2026

Kamati Tendaji imara, Skauti imara 💚⚜️
Tunapanga, tunasimamia, tunatekeleza.
Kinondoni tunaenda mbele kwa nidhamu na uwajibikaji.

Kamishna wa Skauti Wilaya ya Kinondoni katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya baada ya kikao cha kujitambulisha na kuj...
10/02/2026

Kamishna wa Skauti Wilaya ya Kinondoni katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya baada ya kikao cha kujitambulisha na kujadili maendeleo ya Skauti. Ushirikiano huu ni hatua muhimu ya kufungua fursa, kuimarisha malezi ya vijana na kusukuma mbele shughuli za Skauti wilayani.

05/02/2026

Junior Scout Home project at Kilimani Pre & Primary School in Kinondoni District Dar es Salaam, Tanzania

Address

Magomeni Mikumi
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 16:00
Tuesday 09:00 - 16:00
Wednesday 09:00 - 16:00
Thursday 09:00 - 16:00
Friday 09:00 - 16:00
Saturday 09:00 - 12:30

Telephone

+255744998859

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kinondoni Scouts Local Association posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Kinondoni Scouts Local Association:

Share