TIBA KWA WOTE TZ

TIBA KWA WOTE TZ Hello πŸ‘‹ Karibu Kwenye Mfumo Wa Biashara Ujifunze Namna Ya Kutengeneza Pesa Kwenye Mfumo Wetu Mpya.
0788250300 DREAM 24 οΏ½ MIRACLE'S

🌻🌹πŸ’₯ MAUMIVU YA KIUNO,,MGONGO,,TUMBO WAKATI WA HEDHI FAHAMU CHANZO NA TIBA ASILIA πŸŒΉπŸŒ»πŸŒΈπŸ’“πŸ’“πŸ’“πŸ’“βœοΈ Tumbo la hedhi au maumivu wak...
04/09/2024

🌻🌹πŸ’₯ MAUMIVU YA KIUNO,,MGONGO,,TUMBO WAKATI WA HEDHI FAHAMU CHANZO NA TIBA ASILIA 🌹🌻🌸

πŸ’“πŸ’“πŸ’“πŸ’“

✍️ Tumbo la hedhi au maumivu wakati wa hedhi (period pains) au kitaalamu dismenorrhea, ni maumivu yanayojitokeza sehemu ya chini ya tumbo au kiunoni wakati mwanamke anapoanza kupata siku zake au kabla ya hapo. Maumivu hayo huweza kuwa madogo au ya wastani huku baadhi ya wanawake wakipata maumivu makali sana. Maumivu ya tumbo wakati wa hedhi huanza pale mayai yanapotoka katika mirija (fallopian tubes) na kuteremka chini ya mirija hiyo wakati wa Ovulation.
↔Maumivu ya tumbo la hedhi yapo ya aina mbili.

🌻 Aina ya kwanza au (Primary Dysmenorrhea)

ni maumivu yasiyokuwa na sababu zozote za kimsingi za kitiba. Katika aina hii maumivu ni ya kawaida na huhisiwa sehemu ya chini ya tumbo na kiunoni. Maumivu hayo huanza siku moja au mbili kabla ya hedhi na humalizika baada ya siku mbili au nne.

πŸ”·Aina ya pili au (Secondary Dysmenorrhea)

ni yale maumivu yanayojumuisha maumivu yanayosababishwa na sababu nyinginezo za kitiba k**a vile matatizo katika kizazi, ugonjwa wa nyonga (PID) na matatizo katika mirija ya mayai.
Karibu nusu ya wasichana na wanawake hupata maumivu wakati wa hedhi na karibu asilimia 15 wanasema kuwa hupata maumivu makali. Uchunguzi unaonyesha kuwa kuna sababu mbalimbali zinazoweza kuongeza uwezekano wa kuumwa tumbo wakati wa hedhi.
β€’ Kuwa na umri wa chini ya miaka 20.
β€’ Kuvunja ungo wakati wa miaka 11 au chini ya miaka hiyo.
β€’ Kutoka na damu nyingi wakati wa hedhi. (suala hilo linaweza kusababishwa na matatizo mbalimbali ya kitiba).
β€’ Wanawake ambao hawajawahi kuzaa.

πŸ”ΆMaumivu ya Tumbo la Hedhi... Sehemu ya Pili
kukasababisha mtu kupatwa na maumivu ya tumbo la hedhi. Miongoni mwa magonjwa hayo ni:
β€’ Endometriosis. Hii ni hali ambayo seli za ndani ya mfuko wa uzazi huanza kuoka nje ya fuko hilo, au hta sehemu nyinginezo.
β€’ Adenomyosis: Huu ni ugonjwa wa wanawake ambapo tezi au uvimbe (tumors) zinaoota katika mfuko wa uzazi.
β€’ PID au Ugonjwa wa uvimbe katika nyonga.
β€’ Magonjwa ya zinaa yanayotokana na bakteria au magonjwa ya kuambukiza ya zinaa.
β€’ Mlango wa uzazi unapokuwa mdogo kiasi kwamba unazuia damu ya hedhi isitoke kwa urahisi.

πŸ”· Baada ya kujua baadhi ya matatizo ya wanawake yanayoweza kusabibisha hedhi inayoambatana na maumivu ya tumbo, hebu sasa na tuzijue tumbo la mwezi linaumaje?

1. Maumivu mara nyingi si makali.
2. Muumivu huja na kuondoka, na kwa kiwango tofauti (spasmodic).
3. Maumivu zaidi huhisiwa sehemu ya chini ya tumbo.
4. Huchanganyika na maumivu ya sehemu ya chini ya mgongoni ambayo husambaa mpaka mapajani.
5. Kujihisi kutapika, kichefuchefu na wakati mwingine hata kutokwa jasho.
6. Kupata choo kilaini au hata kuharisha.
7. Kufunga choo.
8. Tumbo kuwa kubwa au kuwa gumu.
9. Kuhisi maumivu ya kichwa.
10. Kutojihisi vizuri au kujisikia kuchoka.
Inapasa kujua kuwa, kiwango cha maumivu ya tumbo la hedhi na mchanganyiko wa dalili inategemea mtu na mtu, mtu mwingine anaweza akawa anapata karibu dalili zote nilizozitaja hapo juu na mwingine ni baadhi tu au hata dalili moja

🧑ENDAPO K**A WEWE NI MHANGA WA TATIZO HILO
Ni Vema kutafuta Msaada wa Haraka ili kuepuka maradhi makubwa ya Uzazi .

KARIBU TCM HEALTH CARE
+255766316520 Call Dr Christina
+255788250300 WhatsApp

Muwe Na Jumapili Njema 🀝 Mliobarikiwa Kuwepo Leo.
01/09/2024

Muwe Na Jumapili Njema 🀝 Mliobarikiwa Kuwepo Leo.

Address

Ubungo Plaza Floor 5
Dar Es Salaam

Telephone

+255788250300

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TIBA KWA WOTE TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to TIBA KWA WOTE TZ:

Share