13/05/2026
Kupitia shughuli za uhamasishaji zilizofanyika katika shule za sekondari, alumni wa programu yetu ya African Girls Can Code wanaendelea kuongeza uelewa kwa vijana kuhusu haki za kijinsia na usalama wa kidijitali.
Tazama video hii kujifunza zaidi kuhusu shughuli hizi za uhamasishaji.
Through outreach activities conducted at secondary schools, alumni from our African Girls Can Code programme are continuing to raise awareness among young people on gender rights and digital safety.
Watch this video to learn more about these outreach activities.