Asma Mwinyi Foundation

Asma Mwinyi Foundation Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Asma Mwinyi Foundation, Non-Governmental Organization (NGO), Plot 17, Mwai Kibaki Road, Mikocheni, Dar es Salaam.

The AMF is an NGO that focuses on helping and supporting the vulnerable and underprivileged women and girls generally in improving their livelihoods by providing them with food, shelter, clothing, sanitation, education, medical and spiritual care.

NISTIRI NISIFEDHEHEKE β€” MABINTI 626 WA NIA NJEMA SECONDARY SCHOOL WAFIKIWA Kupitia programu ya Nistiri Nisifedheheke (Ma...
02/09/2026

NISTIRI NISIFEDHEHEKE β€” MABINTI 626 WA NIA NJEMA SECONDARY SCHOOL WAFIKIWA

Kupitia programu ya Nistiri Nisifedheheke (Maintain My Dignity), Asma Mwinyi Foundation (AMF) kwa kushirikiana na Hijab Sisters Hub, imewafikia mabinti 626 wa Nia Njema Secondary School, Bagamoyo.

Mabinti hawa wamepatiwa taulo za k**e za STARA, chapa ya Asma Mwinyi Foundation, ikiwa ni sehemu ya juhudi zetu za kuhakikisha kila msichana anapata fursa ya kusoma, kujiamini na kutunza heshima yake bila vikwazo vinavyotokana na changamoto za hedhi.

Kwa AMF, hedhi si sababu ya msichana kukosa shule, ndoto zake wala kujiamini.

Nistiri Nisifedheheke β€” kwa sababu kila binti anastahili heshima, utu na fursa sawa.





KeepGirlsInSchool EmpowerHer

ZAWADI YA ZULIA (CARPET) – MALALA MOSQUE, TOANGOMA KIGAMBONI πŸ•ŒAsma Mwinyi Foundation (AMF) imekusudia kuchangia zulia (c...
25/08/2026

ZAWADI YA ZULIA (CARPET) – MALALA MOSQUE, TOANGOMA KIGAMBONI πŸ•Œ

Asma Mwinyi Foundation (AMF) imekusudia kuchangia zulia (carpet) yenye urefu wa mita 68, pamoja na ufundi na usafiri, kwa jumla ya TZS 4,090,000.

Allahumma taqabbal minna, wajβ€˜alhu sadaqatan jariyah, na utupe baraka katika kila hatua ya kuujenga na kuiimarisha nyumba Yako.

Mtume ο·Ί amesema: β€œMwenye kujenga msikiti kwa ajili ya Allah, Allah atamjengea nyumba Peponi.” (Sahih al-Bukhari)

Kwa anayependa kushiriki katika sadaka hii, unaweza kuchangia kupitia AMF Lipa Namba (Voda): 50184237.

πŸ“… Mwisho wa kupokea sadaka: 03 Septemba 2026.

Allah awalipe kheri wote watakaoshiriki. Aamiin. 🀲🏽


πŸ’ͺ🏽

INA KULETEA KONGAMANO MAALUM LA WANAWAKE WA KIISLAMU Asma Mwinyi Foundation (AMF) inayo furaha kuwa sehemu ya Kongamano ...
16/08/2026

INA KULETEA KONGAMANO MAALUM LA WANAWAKE WA KIISLAMU

Asma Mwinyi Foundation (AMF) inayo furaha kuwa sehemu ya Kongamano Maalum la Wanawake wa Kiislamu, lililoandaliwa na Muslimah Link Tanzania, lenye lengo la kuwakutanisha wanawake kwa ajili ya kujifunza, kuhamasishana, kujenga familia na kuchangia maendeleo ya jamii kwa misingi ya imani na maadili.

Katika tukio hili, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Asma Mwinyi Foundation, Mhe. Asma Ali Hassan Mwinyi (FCCA) (Mb), atakuwa Mgeni Rasmi.

πŸ“… Jumapili, 23 Agosti 2026
πŸ“ Arusha Mall, Arusha
⏰ Saa 2:00 Asubuhi

Tunawakaribisha wanawake wote kushiriki katika kongamano hili muhimu.

Tujenge, tuelimishane na kuhamasishana kwa pamoja.

11/08/2026



πŸ’ͺ🏽

cc


03/08/2026

Karibuni


πŸ’ͺ🏽

02/06/2026

AUTISM (USONJI) NA DOWN SYNDROME (USO MFANANO) SI MARADHI YA AKILI

Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Asma Mwinyi Foundation (AMF) Mhe amesema yafwatao akiwa .tanzania kuwa Autism (Usonji) na Down Syndrome (Uso Mfanano) si maradhi ya akili. Jamii zenye hali hii wana ndoto, uwezo na haki ya kuishi kwa heshima k**a binadamu wote. Hizi ni hali za maendeleo na ukuaji wa mtu zinazohitaji uelewa, upendo, heshima na ujumuishi katika jamii.

Ni wajibu wetu sote kuondoa unyanyapaa, ubaguzi na vitendo vyote vya ukatili dhidi ya watoto, vijana na watu wanaoishi na hali hizi.

Tunaendelea kusisitiza kuwa:
Ukatili si utamaduni wetu.
Tulinde utu wa kila mmoja wetu na tuendelee kuimarisha amani, upendo, mshik**ano na maridhiano katika jamii yetu. Kwa pamoja, tujenge mazingira salama na yenye heshima kwa kila mtu bila ubaguzi.

Kila mmoja anastahili kuheshimiwa, kuthaminiwa na kupewa nafasi ya kuishi kwa usawa na heshima.




**anoNaMaridhiano

02/06/2026

USONJI NA DOWN SYNDROME SI MARADHI YA AKILI

Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Asma Mwinyi Foundation (AMF) Mhe akiongea katika .tanzania kuwa Autism (Usonji) na Down Syndrome (Uso Mfanano) si maradhi ya akili. Ni hali za maendeleo na ukuaji wa mtu zinazohitaji uelewa, upendo, heshima na ujumuishi katika jamii.

Ni wajibu wetu sote kuondoa unyanyapaa, ubaguzi na vitendo vyote vya ukatili dhidi ya watoto, vijana na watu wanaoishi na hali hizi.

Tunaendelea kusisitiza kuwa:
Ukatili si utamaduni wetu.
Tulinde utu wa kila mmoja wetu na tuendelee kuimarisha amani, upendo, mshik**ano na maridhiano katika jamii yetu. Kwa pamoja, tujenge mazingira salama na yenye heshima kwa kila mtu bila ubaguzi.

*Kila mmoja anastahili kuheshimiwa, kuthaminiwa na kupewa nafasi ya kuishi kwa usawa na heshima.*





πŸ’ͺ🏽

01/06/2026

WATOTO WETU NI DHAMANA YA TAIFA (OUR CHILDREN ARE A NATIONAL TREASURE)

Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Asma Mwinyi Foundation (AMF) leo akiwakilisha hoja .tanzania ameomba Serekali yafuatayo: Wanaowafanyia watoto wa k**e na wa kiume ukatili wa kingono wanapaswa kuwajibishwa kikamilifu kwa mujibu wa sheria.

Tunaendelea kusisitiza kuwa:

Ukatili si utamaduni wetu.

Tulinde utu wa watoto wetu, tuimarishe amani, upendo, mshik**ano na maridhiano katika jamii yetu. Kwa pamoja, tuchukue hatua dhidi ya vitendo vyote vya ukatili na tuwape watoto mazingira salama ya kukua na kutimiza ndoto zao.

################################################x

Those who commit sexual violence against girls and boys must be held fully accountable under the law.

We continue to emphasize that:

Violence is not our culture.

Let us protect the dignity of our children and strengthen peace, love, unity, and reconciliation within our communities. Together, we must stand against all forms of violence and ensure that every child grows up in a safe and nurturing environment.




**anoNaMaridhiano

Address

Plot 17, Mwai Kibaki Road, Mikocheni
Dar Es Salaam
14112

Opening Hours

Monday 09:00 - 16:00
Tuesday 09:00 - 16:00
Wednesday 09:00 - 16:00
Thursday 09:00 - 16:00
Friday 09:00 - 12:00

Telephone

+255747600800

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asma Mwinyi Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Asma Mwinyi Foundation:

Shortcuts

Share