18/05/2026
NINI ADHABU ZA FREEMASONS NDANI YA JUMUIYA KWA WANACHAMA PEKEE?
Dhumuni la adhabu zote kwa mujibu wa wana-sheria inaelezwa kwamba, ni kuthibitisha yule aliye kosewa uwepo wa sheria na haki mahali pale alipo tendewa kosa.
Pamoja na hilo, dhumuni lingine pia ni kuzuia uwezekano wa kosa kurudiwa na wengine kuonyesha nguvu na uwezo wa sheria katika kuhukumu wale waliokosea kwa kupitia yule anaye adhibiwa ili wengine wasije kufanya kosa hilo.
Nfano, mkosaji anapo katwa mkono mbele ya wengine huwajenga kiakili wanajumuiya wengine kujifunza na kuogopa pia.
Lakini sivyo ilivyo katika jumuiya ya Freemasonry, kipengele kimoja huwa kinaongezwa ambacho kinaweza kuwa kimegusiwa kidogo sana katika hayo maelezo mengine yaliyo tangulia.
Kipengele hicho ni kile cha adhabu "inatolewa ili kwamba kile chombo kinacho husika au kinacho mhusu aliye tenda kosa kibaki safi bila doa lolote"
Mfano Jumuiya ya Freemasonry ambayo bado hayaja onywa na jumuiya ile yasiwe k**a taswira ya jumuiya nzima, na kuchafua sifa ya Jamii nzima ya Freemasonry.
Kutokana na mafundisho yetu, Jumuiya ina haki ya kuadhibu kwasababu katika kumpokea mwanachama huwa kuna kuwa na makubaliano ya kufuata kanuni, maadili na taratibu za jumuiya yetu.
Hivyo basi, pande zote mbili yaani mfuasi/mwanachama na Jumuiya zina jukumu la kutimiza masharti na makubaliano hayo ambayo kwa namna yake halisi ni mkataba baina ya pande mbili zilizokubaliana kuwa katika ushirikiano au muungano.
Kutokana na hilo, Jumuiya ya Freemasonry inafungwa kutimiza yale yote iliyo ahidi kwa kila mwanachama, na hivyo hivyo kila mwanachama ana jukumu la kutimiza aliyo ahidi kwa jumuiya hii.
Yote haya yanaifanya Jumuiya kuwa na nguvu sana katika kuadhibu wanachama wanao kosea.
Kutokana na makosa yaliyo fanyika adhabu kwa kila kosa zinatofautiana na huanzia katika ngazi ya kulipa faini ya pesa, kutengwa kwa muda, Kupigwa marufuku ya kudumu na hupanda mpaka kufikia adhabu ya kuuawa kwa kuchinjwa ama kunyofolewa viungo fulani fulani vya mwili.
Lakini kutokana na marufuku na uwepo wa sheria zinazo zuia adhabu zinazo stahili kutolewa na mahak**a kutolewa na taasisi zingine ambazo si za kiserikali katika nchi nyingi duniani, adhabu ya faini ndiyo ambayo hutolewa kwa makosa yaliyo mengi.
Hili limekuja hivi karibuni na nikitu ambacho ni vigumu kuthibitisha kwa watu k**a kweli kinafanyiwa kazi.
Ukweli ni kwamba masharti mengi ya Freemasonry, yako juu zaidi kuliko kiwango cha fedha ya aina yoyote, na hivyo hata adhabu zake huwa ni ngumu kupimwa kwa fedha.
Kutokana na sheria na ulazima wa kutii sheria za nchi iliyomo, freemasonry hutoa adhabu zakr zinazo pindukia kwa siri kubwa sana bila kutangazwa na kujulikana kupitia tukio kubwa fulani k**a sehemu ya utaratibu katika utoaji adhabu.
Lakini pamoja na yote yanayo zungumzwa juu ya Freemasonry, Lakini Jumuiya hii ni jumuiya inayo undwa na na watu walio na mtazamo mkubwa wa kuwa raia wema katika nchi zao, , kwa kuwa waadilifu na watiifu kwa sheria za nchi tulizomo.
Jumuiya ina utaratibu wa kuhakikisha kuwa wanachama wetu hawachafui jina na heshima ya Freemasonry mbele ya jamii inayo tuzunguka..
Katika digrii ya kwanza mwanachama anaye jiunga anakula kiapo cha dam kuwa hatotoa siri za jumuiya hata kwa kifo.
Anaapa kuwa hato wasaliti ndugu zake wa jumuiya na kutowaambia polisi au dola juu ya uhalifu au mabaya yanayo tendwa ndani ya jumuiya..na pia kuto watia hatiani wanachama wenziye endapo k**a atakuwa mtumishi katika maeneo ya kutoa hukumu k**a vile jaji, hakim ama wakili.
Muumini anaye ingia katika Jumuiya anakula kiapo gani?
muumini mpya ambaye anaingia kuchukua digrii ya kwanza katika "blue lodge" anatakiwa kula kiapo cha kujifungamanisha na kiapo cha kupewa adhabu chini zaidi ya ile ya kukatwa koo kutoka usawa wa bega moja kwenda upande wa bega la pili. Zaidi ulimi wake kung'olewa kutoka katika mizizi inayo shikilia kisha mwili wake kuzikwa katika mchanga wa bahari ambapo maji si ya kina kirefu, ni ile sehemu ambayo bahari hupya na kujaa mara mbilo kila baada ya masaa 24 andapo atatoa siri za jumuiya.
ADHABU ZA MWANACHAMA WA DARAJA LA PILI
Mwanachama wa daraja la pili huwa ana kariri na kurudia kiapo hiki, "najifungamanisha kuadhibiwa na adhabu isiyo pungua ile ya kifua changu kupasuliwa moyo wangu kung'olewa na kutolewa nje na kuwekwa juu kabisa ya hekalu ili uliwe na ndege (Tai) wa angani, enfapo nitavunja masharti ya jumuiya hii kwa makusudi.
KIAPO CHA MWANACHAMA WA DARAJA LA TATU.
Najifungamanisha na adhabu isiyo pungua ile ya mwili wangu kukatwa katikati,vutumbo wangu kutolewa nje na kuchomwa moto mpaka kuwa majivu na majivu hayo kusambazwa kuelekea uelekeo wa pepo nne za mbingu ili usikumbukwe tena uwepo wa mtu mbaya na muovu k**a nilivyo mimi enfapo nitaasi kanuni za usiri kwa mtumishi mkuu wa jumuiya hii kwa kujua"
WELCOME
District Grand Lodge of East Africa - DGLEA Freemasons
Freemasonry under the United Grand Lodge of England UGLE
9794 - LODGE EAST AFRICA
P.O. Box 948 Dar es Salaam
Consecrated 26th March, 2005
by RW Bro Sir J K Chande KBE
FM Hall, Moshi Tanzania
4th Sat 3, 9, Inst-3
Where by:-
FM - Indicates "Freemasons' Hall"
MAS.HALL - Indicates "Masonic Hall"
INST - Indicates "Months of Installation meeting"
DISTRICT GRAND MASTER
KUHANI-MKUU DR SELEMAN N SAID
Whats-APP CONTACT: +255759260628
Whats'APP CONTACT: +255753694384.
Dar es Salaam Lodge of Instruction
Meets on the Last Monday of
Feb - May - Aug - Nov