LEO Tanzania

LEO Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from LEO Tanzania, Non-Governmental Organization (NGO), P. O. BOX 65182, Dar es Salaam.

Kipaumbele chetu k**a Shirika ni;1. Ujuzi wa Ujasiriamali 2. Ujuzi wa Masoko 3. Ujuzi wa KifedhaUkipata haya maarifa uta...
18/06/2026

Kipaumbele chetu k**a Shirika ni;
1. Ujuzi wa Ujasiriamali
2. Ujuzi wa Masoko
3. Ujuzi wa Kifedha

Ukipata haya maarifa utaishi ndoto yako.
Karibu ujifunze! Wasiliana nasi +255 794 222113

Mkurugenzi wa Mafunzo na Uratibu wa Shirika la LEO Bw. Israel Ngatunga akifurahia jambo na washiriki wa mafunzo ya ujasi...
01/05/2026

Mkurugenzi wa Mafunzo na Uratibu wa Shirika la LEO Bw. Israel Ngatunga akifurahia jambo na washiriki wa mafunzo ya ujasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya ujasiriamali yanayotolewa na shirika la LEO wakiendela na mafunzo hayo jijini Dar es S...
01/05/2026

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya ujasiriamali yanayotolewa na shirika la LEO wakiendela na mafunzo hayo jijini Dar es Salaam hivi karibuni kupitia programu ya SEEDS. Mafunzo hayo yanalenga kuwapa washiriki ujuzi katika nyanja za kilimo, ufugaji na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la LEO Bw. Joseph Chilemela akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya ujasiriamali mmoja ...
01/05/2026

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la LEO Bw. Joseph Chilemela akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya ujasiriamali mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo kupitia programu ya SEEDS inayotekelezwa na shirika la LEO.

Semina kubwa ya ujasiriamaliNi jumatatu na jumanne ya tarehe 19-20/01/2026Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 07942221...
17/01/2026

Semina kubwa ya ujasiriamali
Ni jumatatu na jumanne ya tarehe 19-20/01/2026
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0794222113 au 0755202021
Karibu ujifunze ujiajiri!

Semina kubwa ya ujasiriamali ya kufungua mwaka 2026.Ni jumatatu na jumanne ya tarehe 12-13/01/2026Kwa mawasiliano zaidi ...
07/01/2026

Semina kubwa ya ujasiriamali ya kufungua mwaka 2026.
Ni jumatatu na jumanne ya tarehe 12-13/01/2026
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0794222113 au 0755202021
Karibu ujifunze ujiajiri!

28/11/2025

Moja ya semina za ujasiriamali na uwekezaji zinazotolewa na shirika la LEO iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Address

P. O. BOX 65182
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LEO Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to LEO Tanzania:

Shortcuts

Share