Usonji Na Jamii Tz

Usonji Na Jamii Tz supporting children with special needs: Visual impairment, ASD/ADHD, II, & other learning difficulty

the aim of this page is to get more people, NGO's, Government, Individuals, stakeholders, firms, Institutes and all who will help to support learner's with Special needs including Blind children and children with Autism

Embracing diversity, proudly special education teachers🧡💚❤️
18/10/2025

Embracing diversity, proudly special education teachers🧡💚❤️

08/09/2025

Ifike Mahali wenye taaluma zinazofanana tukae pamoja tuje na kitu Cha kutuwezesha kujiajili Ili tusiwe wa kulaumu serikali japo serikali ilituandaa kuwa waajiliwa na kwakuwa ajira ni haba basi tujiongeze tusiwe mizigo mtaani (wasomi bila impact ya kile tulichonacho)

Wazo: kuanzisha shule/kituo maalumu kwa watoto wenye mahitaji maalumu.

Wahusika: waalimu elimu maalumu (nukta nundu, lugha ya alama, usonji, na waalimu wa kawaida, wahasibu, sociologists, speech therapist, psychologist, occupational therapist, physiotherapist nk)

Mahitaji: nyumba ya kukodi, yenye uzio, maji, umeme, na iwe rahisi kufikika.
Samani, na vifaa muhimu kulingana na mahitaji ya watoto, mkoa wowote.

Tutasajili, na kufuata taratibu na miongozo wa huduma hii.

Kwa maelezo zaidi k**a unapenda kuwa mdau au una fedha ya mradi huu na siyo lazima uwe mwalimu, hebu nicheki hapo 0685678003 hutajutia maana wewe una Hela na hujui uwekeze wapi na sisi tuna taaluma na hatuna Hela karibu tuungane hutojuta, k**a upo serious.

Lakini pia kwa mliosoma udakitari, unganeni, mawakili vivyo hivyo maana umoja ni nguvu.

Simu ziite Sasa michongo mzima njoo tukae mezani mkoa wowote mahitaji yapo

Mfano, kituo Cha kuwahudumia watoto wenye usonji au ulemavu wowote,
Shule, daycare au centre, nk Mimi Niko tayari 0685678003

02/08/2025

Hakikisha haumfungii mtoto ndani, acha akacheze na watoto wenzake atapata faida zifuatazo
1. Atajifunza ushirikiano na kujumuika na wenzake
2. Atajenga urafiki na kuwa sehemu ya jamii iliyomzunguka
3. Atajifunza lugha kwa urahisi sana na kuwa mchangamfu.
4. Atakuwa mwenye afya kwasababu ya michezo na wenzake na kuimarisha afya yake na hatazubaa akiwa na wenzake.
5. Atajiamini na kujaribu kuonesha uwezo wake na utaifahamu vyema tabia yake na kujenga. Mtoto asifichwe ndani maana utatumia gharamu kumrejesha katika utimamu wake endapo ataukosa katika kujumuika na wenzake.

Kucheza ni haki ya mtoto, bali kumfungia ndani ni janga kwakuwa hatakuwa tofauti na mfungwa, na hii itamfanya ahisi hayupo huru.

31/07/2025

Madhara ya tv kwa watoto

31/07/2025

Athari ya Runinga (televisheni) katika makuzi ya mtoto:
1. Huathiri maendeleo ya ukuaji wa ufahamu
2. Huathiri uwezo wa mtoto kujifunza lugha
3. Huathiri kwa kiasi kikubwa tabia na mwenendo wa mtoto na makuzi kwa ujumla
4. Mtoto kutoelewa hatari iliyopo mbele yake
5. Huathiri pia afya ya mtoto na kupelekea hata udumavu wa akili. Chukua tafadhali mapema Tv ni adui kwa watoto majumbani mwishowe tutasingizia Wana kumbe adui ni TV.

Kwa ushauri, semina ya malezi na mafundisho tupigie 0685678003

30/07/2025

Hello ndugu wazazi na walezi hamjambo?

Leo nimekuja Tena kuwajuza jambo muhimu hasa katika kuhakikisha mtoto wako anakuwa vyema hasa akijumuika na watoto wengine.

Wazazi wengi hasa wanaopata watoto wa kwanza wamejikuta matatani kwa aina ya malezi wanayowapa watoto wao na kwa kuhisi ni upendo, kujali na mapenzi kwa watoto wao mfano,

1. Mtoto analelewa k**a malaika yaani hagusi mchanga.
2. Anafugwa ndani bila kuchangamana (antisocial)
3. Mfariji wake ni tv (cartoons), simu na iPads
4. Anasagiwa vyakula hata k**a anauwezo wa kutafuna peke yake🙆

Matokeo yake ni majuto na hasara kwani, haya yatamkuta mwanao😭

1. Hataweza kuwasiliana vizuri na atachelewa kuongeza kwasababu ameathiriwa na tv na simu hasa atakosa uwezo wa kuumba maneno na
kuzungumza kwa sababu hachangamani na wenzie.
2. Atazubaa na kutojiamini,
3. Atakuwa mkali sana na overstimulated hasa na simu hivyo atakuwa katika ulimwengu wake peke yake na kushindwa kujimudu na kujenga tabia tofauti sawa na watoto wa Rika yake.
4. Atapata ugumu kujifunza maana unamlinda sana na kumfanyia kila kitu mwishowe utasema ana usonji kumbe ni mazingira yamemuathiri🙆
5. Utalaumiwa kwa malezi mabaya na itachukuwa muda na fedha kumjenga upya mtoto huyu😭

Nini kifanyike 0685678003 njoo nikushauri na kumsaidia mtoto.

30/04/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Damas A Malima, Judith Joseph

10/04/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Joli Lweikiza, Neema Sabibi, Jackson Joel Njogane

30/03/2025

With Kenya Institute of Special Education – I just got recognized as one of their top fans!

22/03/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Christina Shirima, Valeria Burchard

22/02/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Adoram Jose, John William Kemuhe, Digna Joseph

Address

Mbezi/Dar Es Salaam Tz
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Usonji Na Jamii Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share