Cheza Foundation

Cheza Foundation We support disabled community to reach greater heights in sports and fitness at National and International level

23/08/2026

Mashabiki wa shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko wataja wachezaji wanaowakubali

15/08/2026

INO LOEMBA ANAIKWAMISHA ⚽️🔥 MASHABIKI WA SOKA Uhuru Mchanganyiko PRIMARY SCHOOL WATOA MAONI YAO

13/08/2026

Samira anasema Maxi Nzingeli ndio Mchezaji aliehamia Simba Kutoka Yanga 😁

13/08/2026

KATIKA MAADHIMISHO YA MASHABIKI WA YANGA WAENDELEA KUMKUMBUKA

09/08/2026

Tumefanya Maadhimisho ya katika shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko ⚽️🔥

09/08/2026

Shaviru Hodari anasema MCHEZAJI WA SIMBA aliefanya vizuri zaidi msimu ulipita ni CLATOUS CHAMA ⚽️🔥

08/08/2026

SULEIMAN MWALIMU MCHEZAJI WA SIMBA ANAECHUKIWA ZAIDI NA MASHABIKI WA YANGA🔥

07/08/2026

Moja ya changamoto tunazokabiliana nazo wakati wa mafunzo ya michezo na maigizo ni tabia za baadhi ya watoto. Wapo watoto kutokana na history ya malezi yao wanapitia kipindi cha mpito wakati wa michezo na watoto wenzao. Tunatumia changamoto hizi kujifunza njia bora ya kuwafundisha na kuwalea kwa manufaa makubwa ya hapo baadae.

07/08/2026

Leo tumesema kabla ya kuanza mazoezi watoto wajifunze kujaza upepo kwenye mipira ⚽️ Cheza Foundation hatuishii kufundisha soccer ⚽️ Tunafundisha stadi za maisha 🔥

Hatimae watoto wenye ulemavu wa macho wamepata mwalimu wa sanaa ya maigizo.
06/08/2026

Hatimae watoto wenye ulemavu wa macho wamepata mwalimu wa sanaa ya maigizo.

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam
14110

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 08:30 - 12:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cheza Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Cheza Foundation:

Shortcuts

Share