Pesaco Tanzania

Pesaco Tanzania Sisi ni "Shirika la Elimu ya Utekelezaji wa Sheria" (PESACO). Maono yetu ni kuwa na jamii inayohiarika kufuata sheria.

Shirika lisilo la kiserikali linalo jihusisha na utoaji wa elimu ya usalama barabarani, matumizi salama ya mtandao na jamilifu.

MRADI WA SHULE SALAMA SHULE YA MSINGI NDUGUMBIPESACO ILIPATA MUALIKO WA KUSHIRIKI KATIKA MRADI SHULE SALAMA AMBAPO OFISA...
25/02/2025

MRADI WA SHULE SALAMA SHULE YA MSINGI NDUGUMBI

PESACO ILIPATA MUALIKO WA KUSHIRIKI KATIKA MRADI SHULE SALAMA AMBAPO OFISA WETU ALIJIKITA ZAIDI KATIKA KIPENGELE KINACHOZUNGUMZIA “ULINZI NA USALAMA WA WATOTO MITANDAONI.”

TUMEWAPITISHA WATOTO JUU YA FAIDA NA HASARA AU CHANGAMOTO ZILIZOPO MTANDAONI. NINI WAFANYE KUJILINDA DHIDI YA ADHARI ZA MTANDAO NA WAPI WAKARIPOTI ENDAPO WATAKUMBANA NA UKATILI, UNYANYASAJI AU WIZI MTANDAONI.

WATOTO WAMEWEZA KUJUA PIA KUHUSU UWANDA WA SHERIA IKIWEMO *SHERIA YA MAKOSA YA KIMTANDAO YA MWAKA 2015.* PIA KANUNI MBALI MBALI ZILIZOPO CHINI YA TCRA, NA ULINZI WATOTO WANAOUPATA KATIKA SHERIA NA KANUNI HIZO.

MWISHO KABISA WATOTO WALIWEZA KUULIZA MASWALI NA KUPATA MAJIBU YA PAPO HAPO.

TULIWAAHIDI WATOTO NA WALIMU KURUDI TENA KWA ELIMU ZAIDI KWANI KIU YAO YA KUJUA ZAIDI ILIKUA BADO NI KUBWA.

KWA PAMOJA TUSHIRIKI KUJENGA JAMII INAYOHIARIKA KUFUATA SHERIA BILA SHURUTI NA KUTOA USHIRIKIANO KWA AJILI YA USALAMA WAKE

Leo tupo EATV kuzungumzia usalama mtandaoni.
03/02/2025

Leo tupo EATV kuzungumzia usalama mtandaoni.

PESACO ikiwakilishwa na Mkurugenzi Mtendaji, bwana Mfaume Hassan, itakua Uhuru Fm, kuzungumzia UHALIFU WA KIMTANDAO na S...
16/12/2024

PESACO ikiwakilishwa na Mkurugenzi Mtendaji, bwana Mfaume Hassan, itakua Uhuru Fm, kuzungumzia UHALIFU WA KIMTANDAO na SHERIA.

Changamoto ya unyanyasaji wa kimtandao inahitaji ushirikiano wetu sote - wazazi, walimu, na jamii.
09/12/2024

Sheria ya Makosa ya Kimtandao No. 14 ya Mwaka 2015 ina jinaisha kosa la unyanyasaji wa kimtandao na inatoa adhabu kali k...
09/12/2024

Sheria ya Makosa ya Kimtandao No. 14 ya Mwaka 2015 ina jinaisha kosa la unyanyasaji wa kimtandao na inatoa adhabu kali kwa wanaojihusisha na unyanyasaji huo.

Changamoto ya unyanyasaji wa kimtandao inahitaji ushirikiano wetu sote - wazazi, walimu, na jamii.

Kushirikiana na vijana kuelewa njia salama za kutumia mitandao ya kijamii.
06/12/2024

Kuleta mwamko kuhusu athari za kisaikolojia na kijamii za unyanyasaji wa kimtandao.

Tunaelimisha na kuhamasisha, ili kuwapa vijana ujasiri wa kusimama dhidi ya unyanyasaji wa kimtandao.

Address

Chuo Kikuu Street
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pesaco Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Pesaco Tanzania:

Share