Mshikamano Motives

Mshikamano Motives Kusimamia Amani, Uhuru wa Kazi na Utunzaji wa Mazingira nchini Tanzania.

02/01/2026

Somo: HERI AKESHAYE NA KUYATUNZA MAVAZI YAKE
Ufunuo 22:12,14
"Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu k**a kazi yake ilivyo."
Heri wazifuao nguo zao, wawe na amri kuuendea huo mti wa uzima, na kuingia mjini kwa milango yake.
Ufunuo 16:15
"Tazama, naja k**a mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake."
YESU KRISTO NI BWANA.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255783829609

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mshikamano Motives posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mshikamano Motives:

Share