Hands of Compassion Initiative

Hands of Compassion Initiative Hands of Compassion Initiative (HOCI) ni shirika la kijamii lisilo la kibiashara linalojitolea kuhifadhi makaburi na kutoa huduma za kijamii kwa jamii.

Tunajenga huruma ❤️, mshikamano 🤝 na heshima ✨. Kauli mbiu: Serving Humanity with Care 🤲🕊️

Tunawatakieni mfungo Mwema wa mwenzi Mtukufu wa Ramadhani waislamu wote Duniani na Mwenyeezi Mungu azissafishe funga zet...
19/02/2026

Tunawatakieni mfungo Mwema wa mwenzi Mtukufu wa Ramadhani waislamu wote Duniani na Mwenyeezi Mungu azissafishe funga zetu Ameen

14/02/2026

CHUNGA KUPOSTI UCHAFU KWENYE TIKTOK || SHEIKH ALI ABUBAKARI

14/02/2026

Allah Akbar

08/02/2026

Leo tumetoa sadaka kwa jamii kwa kusafisha Makaburi ya Kigogo CCM.
Kazi ya heshima, huruma na umoja kwa waliotutangulia 🤍








Jumapili hii tunahamia Makaburi ya Kigogo CCM kwa ajili ya kuendelea na kazi ya utunzaji na heshima kwa waliotutangulia....
06/02/2026

Jumapili hii tunahamia Makaburi ya Kigogo CCM kwa ajili ya kuendelea na kazi ya utunzaji na heshima kwa waliotutangulia.

Karibu tushirikiane katika sadaka kwa jamii 🤍

📍 Kigogo CCM
🗓 Jumapili








02/02/2026

Tuligusa nyoyo, siyo kamera 🤍
Qur’an ikabaki mikononi mwa watoto, thawabu zikabaki mbinguni.
















Jana tulipata neema ya kutekeleza sadaka ya Juzuu za Qur’an kwa watoto wetu.Ni hatua ndogo mbele ya macho ya watu, lakin...
02/02/2026

Jana tulipata neema ya kutekeleza sadaka ya Juzuu za Qur’an kwa watoto wetu.
Ni hatua ndogo mbele ya macho ya watu, lakini kubwa sana mbele ya Mwenyezi Mungu.

Tunaomba Allah (SWT) aijaalie iwe Sadaka Jariyah, Qur’an hizi ziwe nuru kwao duniani na Akhera, na thawabu ziendelee kutiririka kwa wote walioshiriki kwa hali na mali.

Ameen 🤲🏽

“Fanyeni mema; hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao mema.”

📌 TikTok:
📌 page: Hands of Compassion Initiative

Usafi ni heshima kwa waliotutangulia 🤍Jumapili 01 February | Makaburi ya Kigogo CCMHands of Compassion Initiative – HOCI
30/01/2026

Usafi ni heshima kwa waliotutangulia 🤍
Jumapili 01 February | Makaburi ya Kigogo CCM
Hands of Compassion Initiative – HOCI

Tujumlishe wale waliotutangulia 💚 Jumapili hii 01 Feb, tukutane Kigogo CCM. Fanyeni mema; hakika Mwenyezi Mungu anawapen...
30/01/2026

Tujumlishe wale waliotutangulia 💚 Jumapili hii 01 Feb, tukutane Kigogo CCM. Fanyeni mema; hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao mema. ✨

Address

Kigogo Kati
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hands of Compassion Initiative posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Hands of Compassion Initiative:

Share