Inspire Change

Inspire Change Inspire Change is a community engagement organization advocating for the rights, protection & welfare

Happy Easter to you all
05/04/2026

Happy Easter to you all

08/03/2026
HAPPY INTERNATIONAL WOMEN'S DAY 2026
08/03/2026

HAPPY INTERNATIONAL WOMEN'S DAY 2026

Ukatili wa kijinsia haukubaliki. Kila mtoto, kila mwanamke, kila mwanaume ana haki ya kuishi salama na kwa heshima. Lind...
03/03/2026

Ukatili wa kijinsia haukubaliki. Kila mtoto, kila mwanamke, kila mwanaume ana haki ya kuishi salama na kwa heshima. Linda utu. Chukua hatua.

Wiki mpya, mwanzo mpya.Kumbuka: nguvu ya mtoto hujengwa nyumbani kupitia malezi yenye upendo, maadili na kumwelekeza kwa...
03/03/2026

Wiki mpya, mwanzo mpya.
Kumbuka: nguvu ya mtoto hujengwa nyumbani kupitia malezi yenye upendo, maadili na kumwelekeza kwa Mungu. Unachopanda leo, ndicho kitakachoamua kesho yake.

Wapendwa,Habarini za wakati huu. Shirika la Inspire Change kupitia program yake yaWatoto Mentorship Adventure, tunayofur...
24/11/2025

Wapendwa,

Habarini za wakati huu. Shirika la Inspire Change kupitia program yake ya
Watoto Mentorship Adventure, tunayofuraha kuwataarifu kuhusu tukio maalum lililoandaliwa kwa ajili ya watoto kujifunza, kujenga ujuzi na kufurahia. Hafla hii itafanyika kwa muda wa siku mbili, kuanzia tarehe 8 hadi 9 Desemba 2025, katika Ukumbi wa Youth and Community Centre (YCC), uliopo Majengo, Moshi, mkabala na Rose Garden.

Karibuni wote kushiriki katika uzoefu huu wa kipekee utakaobeba elimu, burudani, na msukumo wa maendeleo kwa watoto.
Gharama ni 30,000/=
Tuma namba 0753156382
Kwa mawasiliano zaidi usisite kuwasiliana nasi.

KILA LA KHERI, WANAFUNZI WOTE WA KIDATO CHA NNE KATIKA MTIHANI WA TAIFA, 17 Novemba 2025 - 5 Desemba 2025.
17/11/2025

KILA LA KHERI, WANAFUNZI WOTE WA KIDATO CHA NNE KATIKA MTIHANI WA TAIFA, 17 Novemba 2025 - 5 Desemba 2025.

Address

Mikocheni B
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Inspire Change posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share