Mwangaza Tanzania

Mwangaza Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwangaza Tanzania, Non-Governmental Organization (NGO), Dar es Salaam.

Pata Nuru ya Maarifa kutoka kwa Ndugu Joel Nanauka . Hakika Huyu Bwana ni Ghala lenye Nafaka mbalimbali zenye kuhitajika...
06/12/2022

Pata Nuru ya Maarifa kutoka kwa Ndugu Joel Nanauka . Hakika Huyu Bwana ni Ghala lenye Nafaka mbalimbali zenye kuhitajika na Kila mlaji.

Anatumia Maarifa na Ubunifu wake kuuleta MWANGAZA katika maisha ya mtu mmoja mmoja na Taifa Kwa ujumla.

Kwa kutambua na kujali Pato dogo la Watanzania Tulio wengi, Kijana huyu Amekua akisambaza Elimu na Ujuzi wake Bure kabisa katika Mitandao ya kijamii na Kuuza Vitabu vyenye Ufafanuzi zaidi juu ya Yale anayoyafundisha Mitandaoni Kwa Gharama nafuu kabisa. Hakika Jamii inafaidika na Kipaji chake na Elimu yake.


Karibu sana "MWANGAZA TANZANIA" Hakika Tunajivunia Uwepo wako Mahali hapa.  Jumuika nasi sasa.🤝
02/10/2022

Karibu sana "MWANGAZA TANZANIA" Hakika Tunajivunia Uwepo wako Mahali hapa. Jumuika nasi sasa.🤝

Non-governmental organisation (NGO)

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwangaza Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mwangaza Tanzania:

Share