Sanamare.Tanzania

Directions Website Contact the organization

Sanamare.Tanzania SanaMare Tanzania
We are part of .organisation working in Tanzania making the ocean plastic free. ♻️ We host coastal cleanups🌍

02/10/2026

Vijana, hasa wanafunzi, waliungana katika **usafi wa mazingira ya bahari, michezo, mdahalo na maonyesho**, wakijadili nafasi ya vijana katika kulinda na kuhifadhi bahari.

Programu hii iliandaliwa kwa ushirikiano wa **Sana Mare Tanzania, Mazingira Konekti na Transforming Life**, kwa lengo la kuongeza uelewa na ushiriki wa vijana katika uhifadhi wa mazingira ya bahari.

Washiriki pia walipata fursa ya kutazama filamu Bahari Mania”iliyoandaliwa na Jakaya Mrisho Kikwete Foundation, kuhusu athari za taka katika mazingira ya bahari, pamoja na “Bahari ya Matumbawe” kutoka **Flood Africa**, iliyozungumzia umuhimu wa matumbawe na uhifadhi wake. 🪸🌊

**Vijana wakipewa nafasi, wanakuwa sehemu ya suluhisho la uhifadhi wa bahari.**

MazingiraKonekti TransformingLife VijanaNaMazingira

02/10/2026

Najma Mohammed kutoka Sanamare Organization Tanzania , taasisi inayojihusisha na uhifadhi wa mazingira ya bahari na kuhamasisha jamii kuwa sehemu ya kulinda bahari zetu.

Najma anatueleza safari ya kampeni ya kusafisha fukwe na mazingira ya bahari iliyoandaliwa kuelekea maadhimisho ya World Cleanup Day , yaliyofanyika Tanzania tarehe19 Septemba 2026.

Kampeni hii iliambatana na matukio matatu muhimu:

🔹Pre-World Cleanup Day – tukio la maandalizi na uhamasishaji kuelekea siku kuu.
🔹 Peak World Cleanup Day – tukio kuu la usafi na ushiriki wa jamii.
🔹 Post-World Cleanup Day – shughuli za kuendeleza ujumbe na matokeo ya kampeni baada ya siku kuu.

Haya siyo tu maadhimisho ya siku moja, bali ni sehemu ya kuendelea kujenga utamaduni wa usafi, uwajibikaji na uhifadhi wa bahari kwa jamii. Sana Mare Tanzania | Mazingira Konekti | Transforming Life
🎙️ tazama mahojiano yote na Najma Mohammed na ujue zaidi kuhusu safari ya kampeni hii, changamoto, mafanikio na umuhimu wa kila mmoja wetu kushiriki katika kulinda bahari.

CleanUpDay SaveOurOcean Mazingira Usafi UhifadhiWaBahari Tanzania UsikivuEndelevu

01/10/2026

Katika programu hii ya uhifadhi wa mazingira, tuliweza kukusanya **karibu mifuko 285 ya taka**, huku watu **279** wakishiriki moja kwa moja katika zoezi la ukusanyaji. Taka hizo zilikuwa na uzito wa jumla wa **kilo 2,037.75**. ♻️🌊

Tukio la mwisho lilifanyika **Kisiwa cha Mbudya**, ambapo washiriki **39** walishiriki katika zoezi la usafi na kufanikiwa kukusanya **mifuko 57 ya taka**, yenye uzito wa jumla wa **kilo 370**.

Mbali na usafi, washiriki walipata nafasi ya kufurahia **utalii, michezo na burudani**, pamoja na kukutana na watu kutoka makundi mbalimbali. ⚽🏐🤝

Mafanikio makubwa ya programu hizi ni **ushiriki wa vijana na jamii**, ambao umeendelea kuongezeka katika shughuli za uhifadhi wa mazingira.

🌱 **Usafi, ushiriki na burudani—tukiungana, tunaweza kuilinda mazingira yetu.**

**Sana Mare Tanzania | Mazingira Konekti | Transforming Life**

MazingiraKonekti TransformingLife UhifadhiWaMazingira VijanaNaMazingira Tanzania

Youth at the Frontline of Ocean Conservation!A big congratulations to our incredible team for the energy, teamwork and c...
27/09/2026

Youth at the Frontline of Ocean Conservation!

A big congratulations to our incredible team for the energy, teamwork and commitment they brought to our Post-World Cleanup Day Island Conservation Event.

Having youth at the frontline means creating a generation that does not only learn about environmental challenges, but actively participates in addressing them. Youth bring energy, creativity, new ideas and the ability to inspire others. By giving them opportunities to lead and participate, we are strengthening the next generation of ocean conservation champions and building a stronger connection between people and the marine environment.

This is what Clean. Conserve. Connect. means in action.

cc: .shield_org .network .forminglife .africa,

📷 courtesy: //
…

Beyond cleanup, we come together for a screening of “Bahari ya Matumbawe”, a film by .africa, creating an opportunity to...
27/09/2026

Beyond cleanup, we come together for a screening of “Bahari ya Matumbawe”, a film by .africa, creating an opportunity to learn, reflect and connect through storytelling about our marine environment.

“Bahari ya Matumbawe” fits the island conservation event because coral reefs are a vital part of healthy marine ecosystems and the Blue Economy. The film creates a simple and engaging way for young people and communities to learn about the ocean and reflect on their role in protecting it.

cc: .shield_org .network .forminglife .africa,

📷 courtesy: //
…

We closed the day with a group photo, a simple reminder that conservation is a collective effort. That is why our “Islan...
27/09/2026

We closed the day with a group photo, a simple reminder that conservation is a collective effort. That is why our “Islands for Tomorrow: Clean, Conserve, Connect” initiative continues beyond September. World Cleanup Day connects us through action; conservation keeps that action moving throughout the year.

A big thank you to , .africa, , and all our partners, volunteers and everyone who joined us in keeping the island and ocean ecosystems at the heart of our action.

cc: .shield_org .network .forminglife .africa,

📷 courtesy: //
…

Documenting the waste found after a cleanup is important because it helps us understand what remains in the environment ...
27/09/2026

Documenting the waste found after a cleanup is important because it helps us understand what remains in the environment and what is driving pollution.

gave the participants an opportunity to collect, sort and reflect on the waste found along the shoreline and understand how our everyday waste choices can affect the ocean.

These data, inform policy and advocacy, providing evidence for better , , and pollution-prevention measures.

cc: .shield_org .network .forminglife .africa,

📷 courtesy: //
…

Polluted beaches and islands can directly weaken the   by damaging marine habitats, reducing fish stocks, affecting tour...
27/09/2026

Polluted beaches and islands can directly weaken the by damaging marine habitats, reducing fish stocks, affecting tourism, creating health risks, and increasing the cost of waste management and coastal restoration. Plastic and other waste can harm coral reefs, seagrasses and mangroves, ecosystems that support fisheries, coastal protection and livelihoods.

For communities, a polluted coastline can mean fewer tourism opportunities, reduced fishing productivity and lost income. Keeping beaches and islands clean therefore goes beyond aesthetics, it helps protect the natural resources and economic activities that coastal communities depend on.

cc: .shield_org .network .forminglife .africa,

📷 courtesy: //
…

Islands for Tomorrow: Clean, Conserve, ConnectFollowing World Cleanup Day 2026, we continued our conservation journey wi...
27/09/2026

Islands for Tomorrow: Clean, Conserve, Connect

Following World Cleanup Day 2026, we continued our conservation journey with a Post-World Cleanup Day Island Conservation Event hosted in collaboration with Marine Parks and Reserves Unit (MPRU) and as part of our yearly cleanup program, “Islands for Tomorrow: Clean, Conserve, Connect”.

The day brought together young people, conservation partners and ocean lovers for a day of action and learning at the island. From a beach cleanup to an Eco Tour, beach sports and fun activities, the event created space to connect with nature.

cc: .shield_org .network .forminglife .africa,

📷 courtesy: //
…

21/09/2026

A glimpse of World Cleanup Day 2026!

A day of action, learning, connection and celebration at Silver Sands Beach as young people, students, communities, environmental champions, partners and volunteers.

From shoreline cleanup and waste collection to sports, exhibitions, student projects and community dialogue, the day created a space for people to learn, participate and celebrate the role of young people in protecting our ocean and coastal environment.

Thank you to everyone who joined us and contributed to making World Cleanup Day 2026 a meaningful moment for our coast, our communities and the next generation of ocean conservation champions.

cc: .global .shield_org .network .logistics .forminglife , .africa, .radio

📷 courtesy: //
…

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sanamare.Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Sanamare.Tanzania:

Shortcuts

Share