Tanzania Centre for Democracy -TCD

Tanzania Centre for Democracy -TCD TCD is a non–religious, non-partisan & not-for - profit non– governmental membership organization

We extend our gratitude to the people of Ireland through the Embassy of Ireland in Tanzania for the strategic partnershi...
02/06/2025

We extend our gratitude to the people of Ireland through the Embassy of Ireland in Tanzania for the strategic partnership with TCD in advancing and promoting democracy in Tanzania.

Today we had the signing ceremony of the phase two "Sauti Ya Mwanamke Project".

PICHA: Mkutano wa Viongozi wa Juu (Summit) wa vyama vya siasa wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) unaendele...
14/04/2025

PICHA: Mkutano wa Viongozi wa Juu (Summit) wa vyama vya siasa wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) unaendelea hivi sasa katika ofisi za TCD Mikocheni Jijini Dar es Salaam.

Picha zaidi kwenye Kikao cha Makatibu Wakuu wa vyama vya siasa wanachama wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD) kufanya ...
10/04/2025

Picha zaidi kwenye Kikao cha Makatibu Wakuu wa vyama vya siasa wanachama wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD) kufanya majumuisho ya Maazimio ya Kikao cha Summit ( Wakuu wa vyama) kilichofanyika Jana tarehe 09 Aprili 2025 katika ofisi za TCD Mikocheni Jijini Dar es Salaam.

Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo tarehe 09 Aprili 2025 kimefanya Kikao cha Makatibu Wakuu wa vyama vya siasa wana...
09/04/2025

Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo tarehe 09 Aprili 2025 kimefanya Kikao cha Makatibu Wakuu wa vyama vya siasa wanachama wa TCD kufanya majumuisho ya Maazimio ya Kikao cha Summit ( Wakuu wa vyama) kilichofanyika tarehe 02 Aprili 2025.

Matukio mbalimbali katika picha viongozi wakisaliliana kwenye Mkutano wa Viongozi wa Juu (Summit) wa Vyama Wanachama wa ...
02/04/2025

Matukio mbalimbali katika picha viongozi wakisaliliana kwenye Mkutano wa Viongozi wa Juu (Summit) wa Vyama Wanachama wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD) uliofanyika Katika ofisi za TCD Jijini Dar es salaam.

Mkutano huo umehudhuriwa na Viongozi wa Vyama vyote wanachama, ambavyo ni Chadema, CCM, CUF, NCCR - Mageuzi pamoja na ACT - Wazalendo.

Pamoja na agenda nyingine, kikao hicho pia kimefanya tafakuri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji na muelekeo wa uchaguzi mkuu wa 2025.

Leo tarehe 02 Aprili 2025 Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD) kimefanya Mkutano wa Viongozi wa Juu (Summit) wa Vyama Wan...
02/04/2025

Leo tarehe 02 Aprili 2025 Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD) kimefanya Mkutano wa Viongozi wa Juu (Summit) wa Vyama Wanachama wa TCD uliofanyika Katika ofisi za TCD Jijini Dar es salaam. Mkutano huo umehudhuriwa na Viongozi wa Vyama vyote wanachama, ambavyo ni Chadema, CCM, CUF, NCCR - Mageuzi pamoja na ACT - Wazalendo.

Pamoja na agenda nyingine, kikao hicho pia kimefanya tafakuri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji na muelekeo wa uchaguzi mkuu wa 2025

Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Mheshimiwa Tundu Lissu ameitisha kikao cha Summit ya TCD tarehe 2/4/2...
01/04/2025

Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Mheshimiwa Tundu Lissu ameitisha kikao cha Summit ya TCD tarehe 2/4/2025

Leo tarehe 05 Machi 2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa nchini, Viongozi kutoka Shirika la Wanawake katika Sheria M...
05/03/2025

Leo tarehe 05 Machi 2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa nchini, Viongozi kutoka Shirika la Wanawake katika Sheria Maendeleo barani Afrika (WiLDAF) pamoja na Viongozi wa Chama Cha NCCR - Mageuzi wamekutana kujadili uundwaji wa Dawati la Jinsia Katika ofisi za Makao Makuu ya NCCR - Mageuzi.

Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga Kura utaendelea Katika mikoa ya Morogoro na Tanga kuanzia tarehe 01 Machi 2025...
27/02/2025

Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga Kura utaendelea Katika mikoa ya Morogoro na Tanga kuanzia tarehe 01 Machi 2025 hadi tarehe 07 Machi 2025.

"Kujiandikisha kwa mpiga Kura ni msingi wa Uchaguzi Bora".

Kiongozi wa Chama Cha ACT - wazalendo, Mheshimiwa Dorothy Semu leo tarehe 23 Februari 2025 amehutubia Kikao cha Halmasha...
23/02/2025

Kiongozi wa Chama Cha ACT - wazalendo, Mheshimiwa Dorothy Semu leo tarehe 23 Februari 2025 amehutubia Kikao cha Halmashauri Kuu Taifa ya Chama hicho katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema, Magomeni Jijini Dar es Salaam.

"Tutashirikiana na vyama makini vya siasa, asasi za kiraia na makundi yote ya kijamii kudai mabadiliko ya msingi katika mfumo wa Uchaguzi ili kura za wananchi ziheshimiwe."

Amesema Mheshimiwa Semu wakati akifungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama hicho.

Leo tarehe 22 Februari 2025 Mwenyekiti wa Chama Cha ACT - wazalendo, Taifa Mheshimiwa Othman Masoud Othman ameongoza Kik...
22/02/2025

Leo tarehe 22 Februari 2025 Mwenyekiti wa Chama Cha ACT - wazalendo, Taifa Mheshimiwa Othman Masoud Othman ameongoza Kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema ulioko katika Jengo la Maalim Seif; Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam.

Kikao hicho ni maandalizi ya Kikao cha Halmashauri Kuu kitakachofanyika siku ya kesho, tarehe 23 Februari 2025 katika ukumbi huo huo wa Hakainde Hichilema, Magomeni Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Chama Cha ACT - Wazalendo, Mheshimiwa  leo tarehe 18 Februari 2025 ameongoza kikao cha Sekretarieti ya Ch...
18/02/2025

Katibu Mkuu wa Chama Cha ACT - Wazalendo, Mheshimiwa leo tarehe 18 Februari 2025 ameongoza kikao cha Sekretarieti ya Chama hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Juma Duji Haji Makao Makuu ya Chama Magomeni Jijini Dar es salaam.

Address

TPDC Road, Chumvikiwa Street, House No. 16
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Centre for Democracy -TCD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share