21/03/2025
*UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS)*
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Fangasi ukeni ni miongoni mwa magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali. Husababisha miwasho, harufu mbaya, maumivu, majimaji, homa nk kiasi cha kuingilia ratiba na ufanyaji kazi wa kila siku wa mtu. Huweza kuwakumba wanawake wa aina zote, ila wanawake wenye ujauzito huwa kwenye hatari zaidi. Ukikosa matibabu mazuri unawezaukahangaika nao kwa muda mrefu sana, lakini ukipata matibabu mazuri basi ndani ya muda mfupi tu unapona kabisa na kuweza kuwa vizuri
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
*DALILI ZA FANGASI UKENI*
Dalili zake huwa ni za kuogopesha k**a maambukizi yatakua yametokea kipindi cha
ujauzito, ugonjwa wa VVU, ugonjwa wa sukari nk
⏩kuwashwa sehem za siri
⏩kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana *(superficial dysapareunia)*
⏩kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa
au kutoka kukojoa *(burning sensation)*
⏩kupata vidonda ukeni *(soreness)*
⏩kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke *(l***a minora)*
⏩kupata maumivu wakati wa kukojoa
⏩kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa MWEPESI au
MZITO, uchafu huu unakua k**a maziwa yaliyoganda na hauna harufu kali
⏩Kutokwa na harufu kali baada ya kushiriki tendo la ndoa
⏩Kuchafua chupi mara kwa mara n.k
*kupata ushauri na tiba zetu wasiliana nasi kupitia simu number*
0745149985 au 0620156487