TUKO SAWA -Harmony Generation

TUKO SAWA -Harmony Generation Karibu Mtandao wa KIZAZI CHA HARMONY. Tunaongozwa na UTU, UPENDO na UMOJA – ili kujenga jamii zenye MSHIKAMANO na USTAWI kwa wote.

Fuata link 👉🏾ujiunge na grupu letu leo - https://www.facebook.com/groups/2058835474948933

🎊🎉🎈LEO, tarehe 1️⃣2️⃣-0️⃣8️⃣-2️⃣0️⃣2️⃣6️⃣ — WANAHARMONY WA JUMUIYA YA TUKO SAWA TUNAKUTAKIA MLEZI WETU MPENDWA, HERI YA ...
12/08/2026

🎊🎉🎈LEO, tarehe 1️⃣2️⃣-0️⃣8️⃣-2️⃣0️⃣2️⃣6️⃣ — WANAHARMONY WA JUMUIYA YA TUKO SAWA TUNAKUTAKIA MLEZI WETU MPENDWA, HERI YA MIAKA 6️⃣6️⃣ YA KUZALIWA.

Tunakushukuru kwa kuishi na kudumisha upendo wa kindugu alioturithisha Profesa wetu wa Harmony, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Umetuonyesha kwa vitendo maana halisi ya undugu!

Wanaharmony wa Gen Z wanakuita Babu,
Millennials wanakuita Baba,
na wengine wanakuita Kaka.

Kutoka kwako tumejifunza kwamba:

“Haijalishi wewe ni mtoto wa nani au una mamlaka gani — tunapokuja kwenye jamii tunaongea lugha moja!”

Asante kwa kutembea pamoja nasi k**a jamii iliyodhamiria kurejesha upendo wa kindugu.

Tunakuombea FURAHA • AFYA • MAISHA MAREFU.

Heri ya siku yako ya kuzaliwa, Mlezi wetu Mpendwa.🎊🎉🎈

08/08/2026

Our Movement Our Society Our Academy Our Award Partner with us “Tuko Sawa” is a Swahili expression that means “We […]

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TUKO SAWA -Harmony Generation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share