18/10/2024
Ee Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na nchi, uzisike Sala zangu na Dua zangu, Kila wakati ninapo kutafakari wewe, na ninapokumbuka gharama kubwa ya kumtoa Yesu akafa msalabani kwa ajili ya WANADAMU wote na Mimi nikiwamo. Ninakushukuri pia kwa ajili ya watumishi wako waliojenga msingi wa Imani yangu kwako. Kwa ujumla ninakushukuru wewe Mungu wangu kwa watumishi wafuatao:
David Magoke ANGLICAN CHURCH PARISHI YA MASWA
Mch.Timanywa ANGLICAN CHURCH PARISHI YA MASWA
Mch.JOHN MPOGOMI ANGLICAN CHURCH PARISHI YA MASWA
Mch Mkosa ANGLICAN CHURCH PARISHI YA MASWA
Mch. Selususi byalugolola EAGT MASWA NYALIKUNGU SHULENI
Mch. John Masinga FILADEFIA MASWA SIDO
Mch. Kinasa FILADEFIA SIDO MASWA na EAGT UNYANYEMBE
Mch chopa/ chamdoma EAGT (Funika)MASWA
Mch.Saimoni EAGT (funika) MASWA
Mch. Chaha EAGT UNYANYEMBE MASWA
Mch. Francis Shimiye KLPT TABATA DAR ES SALAM
Mch Mlihano KLPT TABATA DAR ES SALAM
Mch. John Shusho KLPT TABATA DAR ES SALAM
Mch. Emanuel EAGT KILOSA.
Mch Mwandongole TAG UBENAZOMOZI CHALINZE.
Mch. Munisi TAG PANDE BAGAMOYO.
Mch. Mvimba EAGT MBEGANI BAGAMOYO
Mch. Kadimieli FPCT ZINGA BAGAMOYO
Ninauona uwekezaji mkubwa ambao Mungu uliingia gharama kutuma watumishi wote hawa kunifundisha.
Ee. Mungu kwa waliohai nakuomba uwabariki Hadi washangae. Waliokufa naomba uwarehemu waendelee kupumzika kwa amani.......amen.