12/07/2023
ipo tofauti ya kuwa bosi na kuwa kiongozi,bosi muda wote huamrisha bila kujali anao waamrisha Wanaweza kujadiliana na kuwa na mchango + katika kazi zao, wanahitaji utekelezaji zaidi, hayupo tayari kubadisha chochote Kwa wazo mfanyakazi wake,anaamini yeye anamzidi Kila aliyemzodi cheo,dharau,anastahi na nimkamilifu,mkikaa nao wanahitaji wakutawale na uwasikilize,huficha anacho amini ndio misingi badala ya kuweka wazi Ili kuikuza, haami katika kile alicho kiandika kumuongoza aliye chini yake(sheria) na mengi lakini tumtazame kiongozi haina maana ya dhamana tu Bali Huwa mstari wa mbele katika mashauriano na watu wake kuimarisha matokeo au kubadilisha matokeo,hujiridhisha k**a k**a Kuna maandalizi ya kutosha kuanza au kuendelea na utekelezaji,huwachukulia Kwa usawa watu wake lakini hutembea katika njia Yao,huthamini Kila mtu Kwa nafasi yake na kuchangiana mawazo,anasikiliza zaidi na kujadiliana anaamini kinachomjenga kinahitaji kuimarishwa na mawazo ya wengine,huamini Kila mtu anao uwezo mkubwa na tofauti Kwa nafasi yako,maslahi ya Kila mtu anayaheshimu