Agri Thamani

Agri Thamani Vita ya utapiamlo kupitia elimu, kilimo na uwepo wa sera wezeshi. Mkurugenzi: Mwenyekiti: Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda

Tumetoa elimu ya   kwa Mama Lishe wa Mtaa wa Kagemu, Kata ya Kitendaguro  , ili kuwaongezea maarifa yatakayowasaidia kua...
12/06/2026

Tumetoa elimu ya kwa Mama Lishe wa Mtaa wa Kagemu, Kata ya Kitendaguro , ili kuwaongezea maarifa yatakayowasaidia kuandaa na kutoa chakula salama, chenye ubora na virutubisho vinavyohitajika. Kuwawezesha Mama Lishe ni kuwekeza katika afya ya jamii kwani ni wadau muhimu katika kuhamasisha na kuimarisha lishe bora ngazi ya jamii kupitia huduma wanazozitoa kila siku.

Kwa furaha kubwa, kitalu chetu cha mfano cha kuotesha miche kimefikia hatua muhimu ya kuanza kusambaza miche kwa kaya za...
05/06/2026

Kwa furaha kubwa, kitalu chetu cha mfano cha kuotesha miche kimefikia hatua muhimu ya kuanza kusambaza miche kwa kaya za wazee katika Mtaa wa BugambaKamo Kata Kitendaguro . Hii ni hatua ya kugeuza matumaini kuwa matokeo halisi ya kila kaya ya Mzee kuwa na bustani kwa ajili ya na . Kwani tunaamini
Mche mmoja, bustani moja ni kwa kila mzee.

Tumeshiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Siku ya lishe Kata ya Kitendaguro na Bakoba   tukihamasisha jamii kuhusu um...
25/05/2026

Tumeshiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Siku ya lishe Kata ya Kitendaguro na Bakoba tukihamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kwa Afya. Tumeendelea kusisitiza matumizi ya vyakula vyenye virutubisho, malezi bora ya watoto na kuimarisha afya ya familia kwa ujumla. Pamoja tunaijenga jamii yenye afya na nguvu kupitia lishe bora.

Tumeshiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Siku ya lishe Kata ya Kitendaguro   tukihamasisha jamii kuhusu umuhimu wa  ...
25/05/2026

Tumeshiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Siku ya lishe Kata ya Kitendaguro tukihamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kwa Afya. Tumeendelea kusisitiza matumizi ya vyakula vyenye virutubisho, malezi bora ya watoto na kuimarisha afya ya familia kwa ujumla. Pamoja tunaijenga jamii yenye afya na nguvu kupitia lishe bora.

Tumeshiriki katika zoezi la uandaaji wa bustani ya mboga mboga Shule ya Msingi Bugambakamoi  . Zoezi hili ni mwendelezo ...
14/05/2026

Tumeshiriki katika zoezi la uandaaji wa bustani ya mboga mboga Shule ya Msingi Bugambakamoi . Zoezi hili ni mwendelezo wa mradi wetu wa kilimo cha mboga mboga shuleni unaolenga kuimarisha Afya bora kupitia upatikanaji wa lishe bora na yenye uwiano. Hatua hii ni sehemu ya juhudi za kitaasisi za kukuza ustawi wa wanafunzi na maendeleo endelevu katika mazingira ya shule.

Upandaji wa mbogamboga ni zaidi ya kazi ni uwekezaji wa afya, uhai na matumaini kwa jamii yetu. Wazee wetu wameonesha mf...
14/05/2026

Upandaji wa mbogamboga ni zaidi ya kazi ni uwekezaji wa afya, uhai na matumaini kwa jamii yetu. Wazee wetu wameonesha mfano wa kuigwa kwa kuandaa kitalu cha mbogamboga katika Mtaa wa Busimbe A, Kata ya Kitendaguro , wakichangia upatikanaji wa chakula bora na ustawi wa jamii.

Elimu ya lishe bora ni msingi muhimu kwa afya ya mama na mtoto. Katika kuunga mkono juhudi za kuboresha ustawi wa jamii,...
14/05/2026

Elimu ya lishe bora ni msingi muhimu kwa afya ya mama na mtoto. Katika kuunga mkono juhudi za kuboresha ustawi wa jamii, tumefanikisha utoaji wa elimu ya lishe bora katika Kituo cha Afya Buyekera, Magereza na Kahororo. Hatua hii inalenga kuongeza uelewa wa jamii kuhusu umuhimu wa mlo kamili na lishe yenye uwiano katika kuimarisha afya na maendeleo ya familia na jamii kwa ujumla.

Tumetoa elimu ya   katika shule za msingi za Kitendaguro, Bunena, Rumuli na Kahororo   kwa lengo la kuimarisha uelewa wa...
14/05/2026

Tumetoa elimu ya katika shule za msingi za Kitendaguro, Bunena, Rumuli na Kahororo kwa lengo la kuimarisha uelewa wa wanafunzi kuhusu lishe bora na umuhimu wa mlo kamili. Hatua hii ni sehemu ya juhudi za kitaasisi za kukuza afya, ustawi na maendeleo endelevu ya watoto wetu shuleni.

Tuliwasilisha rasmi ripoti ya shughuli za shirika kwa robo ya kwanza (Januari–Machi 2026) kwa Msajili wa NGOs Manispaa y...
04/05/2026

Tuliwasilisha rasmi ripoti ya shughuli za shirika kwa robo ya kwanza (Januari–Machi 2026) kwa Msajili wa NGOs Manispaa ya Bukoba
Hatua hii inalenga kuonesha uwajibikaji uwazi na kujitolea kwetu katika kufuata taratibu na kuimarisha ushirikiano na utendaji wa shirika.

Tumetoa elimu ya uhifadhi bora na salama wa chakula kwa wauzaji wa mbogamboga, matunda, na ndizi mbichi tuliowakuta kati...
03/05/2026

Tumetoa elimu ya uhifadhi bora na salama wa chakula kwa wauzaji wa mbogamboga, matunda, na ndizi mbichi tuliowakuta katika soko dogo la Kashai, lililopo . Lengo kuu ni kuhakikisha vyakula vinahifadhiwa kwa njia sahihi ili visipoteze virutubisho vyake, na hivyo kusaidia upatikanaji wa lishe bora kwa jamii.

Address

Kagera Regional Commissioner's Office
Bukoba
255

Telephone

+255676975588

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Agri Thamani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Agri Thamani:

Share