Tanzanian Youth Development Organization

Tanzanian Youth Development Organization Empowered young generation with tallents and skills for emplyment creation and supportive livelihood.

All the best TYDO Sports Academy
27/03/2025

All the best TYDO Sports Academy

FAINALI YA LIGI YA WATOTO U16 BUKOBA 2025.

Ni mchezo unaosubiliwa kwa hamu na wananchi wa Bukoba, Mkoani kagera,

Fainal hii itazikutanisha team mbili za watoto wadogo wenye umri chini ya miaka 16 kutoka Bukoba,
Tydo Academy U16 inapatikana ndani ya Kata ya Kashai watakuwa Nyumbani wakimkalibisha Kagera Uited kids katika uwanja wa Kashai Shule ya msingi.

Mchezo huu utachezwa siku ya Jumamosi tarehe 29/03/2025 Saa 10 kamili jioni.

Usipange kukosa, usipange kusimuliwa, fika ujionee talanta za watoto wadogo.

Address

Kashai
Bukoba

Telephone

+255763180299

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzanian Youth Development Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Tanzanian Youth Development Organization:

Share