01/03/2022
Field officers wakiwa field kuhamasisha masuala ya AFYA katika kuhamasisha kujikinga dhidi ya UVIKO-19 kwa kuhakikisha jamii inapata chanjo yaUVIKO-19, kujikinga na UKIMWI, afya ya uzazi na mtoto na kuwa na vyoo bora, UTUNZAJI WA MAZINGIRA katika shughuli za upandaji wa miti na usafi wamazingira NA UWEZESHAJI WA JAMII katika kuunda vikundi, kufanya shughuli za ujasiriamali na kuanzisha viwanda vidogovidogo katika mji wa Bariadi nchini Tanzania.