03/11/2024
Ni kweli tume fungwa na nili tegea ipo siku tuta fungwa.....
Ila naweza kusema haya machache
1. Ukweli ratiba ni ngumu mno kucheza back 2 back sio rahisi huku mechi tatu ikiwa ni coast unioni arusha ,singida black stars zanz na azam chamanzi mtani ww kuweza?
2.majeruhi kutokana na kucheza mfululizo halafu mechi ngumu majeruhi hawa kosekani mfano yao ame kosa mchezo wa singida black stars na wa jana dhidi ya azam boka pia
3.upangaji wa kikosi kutokana na majeruhi ili mlazimu master gamond kumpanga bbd job pembeni
Eneo ambalo hakuonekana kulipenda sana mara kwa mara ali kuwa ana ingia kati kwani bacca na mwamnyeto wali kuwa wana acha nafasi nyingi ambazo job ali kuwa ana ona k**a ni hatarishi
4.bacca na mwamnyeto huwa waki cheza wawili makosa huwa mengi kuliko waki cheza bacca na job
5.bacca na maamuzi yake kuna sehemu una weza mlaumu kwann kafanya kile bora ange endelea kufukuzana nae huenda ange kosa au hata ange funga tunge kuwa 11 kwa 11 pia una waza alicho fikiria bacca kuwa namshika napewa kadi ya njano halafu ina kuwa faulo tuna okoa tuna anza upyaaa matarajio yake yaka enda ndivyo sivyo.
6.mwenye namba ya refa ani saidie kuuliza kwa nn kadi nyekundu ni ali amini bacca ali kuwa mtu wa mwisho ? Au ali amini bacca ali zua nafasi ya azam kufunga goli hivyo adhabu iwe ni red kadi ? Ile ya dube dhidi ya simba ili kuaje ikawa njano nan yupo sahihi ili next time tusiwe na mjadala moja itumike k**a hadidu rejea.
7.aziz ki nae sijui kalogwa na hamisa mechi karibu zote za ligi kashuka sana kiwango hata jana ana jua tupo pungufu bado hasiidii kukaba.
8.gamond jana mapema tu uli takiwa kumtoa aziz ki umueke pacome kwa sababu ya kusaidia kukaba na pacome ana shambulia kwa kasi na haraka kuliko aziz ki na
9.siku mbaya kazini jana yanga tuli kuwa na siku mbaya kazi kuazia ile red card na nafasi tulizo kosa hasa ya dk ya jioni alio kosa kibabage
10.dube mechi ngap tukupe ? Maana matarajio yetu yana fifia siku hadi siku nadhani kuna haja ya mastar kuanza kumwamini baleke japo kidogo
NB.pamoja na kuwa pungufu azam waliomba poo mpira uishe
Nadhani namna ya kutufunga ime patikana tuwe pungufu na bado uta omba maji.