26/10/2025
๐Wakati umefika wa kizazi cha kidijitali
ADEP (Aspirational Digital Empowerment Program) inaleta mafunzo ya ICT, ubunifu na programu au zana za kisasa rahisi za kidigitali moja kwa moja mashuleni