16/10/2025
Zimebaki siku chache tu!!
Tunakukaribisha kwenye : KONGAMANO KUBWA LA CHAMPION WOMAN β SEASON SIX π
π
Tarehe: 18/10/2025
π Ukumbi: Lush Garden, Arusha
π Muda: Kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni
Kaulimbiu yetu mwaka huu:
βINUKA UANGAZE!β πͺβ¨
Ni wakati wa kuungana pamoja kuinua wanawake, watoto na watu wenye uhitaji.
Utapata nafasi ya kujifunza, kubadilishana uzoefu, kufurahia muziki, na kuwa sehemu ya mkono wa upendo wa Champion Woman.
Mawasiliano: 0766 989 811 β Grace Ushindi
π Usikose! Jiunge nasi katika msimu huu wa sita wa kutoa, kuinua na kutia moyo β Champion Woman Season Six! πΉ