Mikono Hai

Mikono Hai "We believe that, everyone has a role to play to the needy, Therefore we believe doing it together accounting that it is our responsibilities.

Moja ya matukio muhimu , upendo kwa binadamu wenzetu
22/11/2025

Moja ya matukio muhimu , upendo kwa binadamu wenzetu

𝑻𝑨𝑵𝑮𝑨𝒁𝑶 𝑴𝑨𝑨𝑳𝑼𝑴TUWASAIDIE PAMOJA!Mikono Hai inakuomba ushiriki katika kampeni ya kuchangisha msaada kwa ajili ya yatimani...
30/04/2025

𝑻𝑨𝑵𝑮𝑨𝒁𝑶 𝑴𝑨𝑨𝑳𝑼𝑴

TUWASAIDIE PAMOJA!

Mikono Hai inakuomba ushiriki katika kampeni ya kuchangisha msaada kwa ajili ya yatimani na watu waliopo katika mazingira magumu. Tunakusanya chakula, nguo, vifaa vya shule, na misaada ya kifedha ili kuwapa tumaini jipya wale wanaohitaji zaidi.

Maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia:

Simu: 0756890517

Tutatangaza tarehe ivi karibuni

Mikono Hai – Pamoja Tunaweza.

29/04/2025

𝗖𝗼𝗺𝗺𝘂𝗻𝗶𝘁𝘆 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗶𝘁𝘆 𝗶𝘀 𝗰𝗼𝗺𝗶𝗻𝗴 𝘀𝗼𝗼𝗻

" 𝗠𝘂𝗻𝗴𝘂 𝗽𝗲𝗸𝗲𝗲 𝗻𝗱𝗶𝘆𝗲 𝗮𝗻𝗮𝘆𝗲𝘁𝘂𝗷𝘂𝗮, 𝗵𝗮𝘁𝘂𝗻𝗮 𝗸𝗶𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗶𝗹𝗮 𝗵𝗮𝘁𝗮 𝗵𝗶𝗸𝗶 𝗸𝗶𝗱𝗼𝗴𝗼 𝗻𝗶 𝗸𝗶𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝘂𝗸𝗶𝘁𝗼𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗠𝗢𝗬𝗢"

Address

Sanawari
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mikono Hai posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mikono Hai:

Share