Miss Journalism Tanzania

Miss Journalism Tanzania Welcome to official "Miss Journalism Tanzania" by Skyfree International. UHURU WA VYOMBO VYA HABARI, huimarisha Jamii zenye Amani, Haki na Maendeleo.

Miss Journalism Tanzania ni mashindano ya kwanza na ya aina yake kuwahi kutokea katika Taifa la Tanzania. Mashindano haya yatahusisha warembo kutoka mikoa yote ya Tanzania. Katika mashindano haya warembo watakaa kambini kwa muda wa siku 90 wakijifunza masomo ya awali ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano (Foundation in Journalism & Communication), Utalii na Lugha mbalimbali za kimataifa. Mshindi at

apewa zawadi nono na kuiwakilisha Tanzania katika mashindano makubwa kabisa ya Dunia, Miss Journalism World 2018. Endelea kufatilia ukurasa wetu ili uendelee kupata habari mbalimbali na updates za mashindano haya. Pia tunatafuta mawakala katika mikoa yote ambao wana uzoefu wa kuandaa Event katika mikoa yao.

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Miss Journalism Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share