Kijana wa kiislamu

Kijana wa kiislamu Ukurasa huu ni kwa ajili ya kuwakumbusha na kuwahamasisha hususani vijana wa kiislamu juu ya kuitambua dini yao.

07/03/2026

SEMINA YA WALIMU WA KIISLAMU

Kijana wa kiislamu Kijana Wa Kiislamu Maulid Bin Swaleh Maulid Bin Swaleh TMYF Arusha The Islamic Foundation - Based in Tanzania

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Juma Shaame Salum, Torres Tz, Mbwana Bakari, James Andrea...
28/02/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Juma Shaame Salum, Torres Tz, Mbwana Bakari, James Andrea, Abdallah M***a Bakari, Yahya Hussein, Joelina Nakei, Kibwana Khamisi, M***a Fumo, Docrt Mdumuka, Brayouh Yakubu, Hamisi Abdul Bisingo, Masudi Mzeekani, Edward Kinyua, Kambarage Magoma, Tinky Ricky, Kurezy Kuzy, Deps Rashidi Amisi, Freeboyia Aka Godsonia, Suleiman Kibunyufu, Mwatima Uzzi, Nelson Mateus, George Mpangala, Nassor Hemed, Teddy Sosptee, Salum Iddi, Zurich Boy, Hassan Hamadi, Bakari Mgala, Fatuma Hassan, Ackõ Patrick RK Ramazani, Yassin Karimu, Saidi Maulidi, Abdull Kareem, Ramadhani Mazongela, Omary Bakary, Ramy Roshny, Bakari Katana, Sartu Galma Sartu Galma, Khery Mtoima, Othuman Geed, Mohamed Khalid, Delick Libent, Chidy Bizz, O Mary Yusuph Omary, Pedro A Pedro, Farah Hussein Kinikh, Bush Manxb, Habiba Ibrahim, Makalo Bz

27/02/2026

Al-Qari'ah 101:8

وَأَمَّا مَنۡ خَفَّتۡ مَوَٰزِينُهُۥ

Na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu,

Kijana wa kiislamu Kijana Wa Kiislamu Kijana Wa Kiislamu Maulid Bin Swaleh Maulid Bin Swaleh TMYF Arusha The Islamic Foundation - Based in Tanzania

27/02/2026

Al-Qari'ah 101:7

فَهُوَ فِي عِيشَةࣲ رَّاضِيَةࣲ

Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza.

Kijana wa kiislamu Kijana Wa Kiislamu Maulid Bin Swaleh Kijana Wa Kiislamu Maulid Bin Swaleh TMYF Arusha The Islamic Foundation - Based in Tanzania

27/02/2026

Al-Qari'ah 101:6

فَأَمَّا مَن ثَقُلَتۡ مَوَٰزِينُهُۥ

Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito,

Kijana wa kiislamu Kijana Wa Kiislamu Kijana Wa Kiislamu Maulid Bin Swaleh Maulid Bin Swaleh TMYF Arusha The Islamic Foundation - Based in Tanzania

27/02/2026

Al-Qari'ah 101:5

وَتَكُونُ ٱلۡجِبَالُ كَٱلۡعِهۡنِ ٱلۡمَنفُوشِ

Na milima itakuwa k**a sufi zilizo chambuliwa!

Kijana wa kiislamu Kijana Wa Kiislamu Kijana Wa Kiislamu Maulid Bin Swaleh Maulid Bin Swaleh TMYF Arusha The Islamic Foundation - Based in Tanzania

27/02/2026

Al-Qari'ah 101:4

يَوۡمَ يَكُونُ ٱلنَّاسُ كَٱلۡفَرَاشِ ٱلۡمَبۡثُوثِ

Siku ambayo watu watakuwa k**a nondo walio tawanyika;

27/02/2026

Al-Kafirun 109:6

لَكُمۡ دِينُكُمۡ وَلِيَ دِينِ

Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.

27/02/2026

Al-Fatihah 1:2

ٱلۡحَمۡدُ لِلَّهِ رَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ

Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;

Kijana wa kiislamu Kijana Wa Kiislamu Kijana Wa Kiislamu Maulid Bin Swaleh Maulid Bin Swaleh TMYF Arusha The Islamic Foundation - Based in Tanzania

Al-An'am 6:96فَالِقُ ٱلۡإِصۡبَاحِ وَجَعَلَ ٱلَّيۡلَ سَكَنࣰا وَٱلشَّمۡسَ وَٱلۡقَمَرَ حُسۡبَانࣰاۚ ذَٰلِكَ تَقۡدِيرُ ٱلۡعَز...
27/02/2026

Al-An'am 6:96

فَالِقُ ٱلۡإِصۡبَاحِ وَجَعَلَ ٱلَّيۡلَ سَكَنࣰا وَٱلشَّمۡسَ وَٱلۡقَمَرَ حُسۡبَانࣰاۚ ذَٰلِكَ تَقۡدِيرُ ٱلۡعَزِيزِ ٱلۡعَلِيمِ

Ndiye anaye pambazua mwangaza wa asubuhi; na ameufanya usiku kwa mapumziko na utulivu, na jua na mwezi kwenda kwa hisabu. Hayo ndiyo makadirio ya Aliye tukuka Mwenye nguvu, Mwenye ujuzi.

Kijana wa kiislamu Kijana Wa Kiislamu Kijana Wa Kiislamu Maulid Bin Swaleh Maulid Bin Swaleh TMYF Arusha The Islamic Foundation - Based in Tanzania

Al-'Ankabut 29:41مَثَلُ ٱلَّذِينَ ٱتَّخَذُواْ مِن دُونِ ٱللَّهِ أَوۡلِيَآءَ كَمَثَلِ ٱلۡعَنكَبُوتِ ٱتَّخَذَتۡ بَيۡتࣰاۖ ...
27/02/2026

Al-'Ankabut 29:41

مَثَلُ ٱلَّذِينَ ٱتَّخَذُواْ مِن دُونِ ٱللَّهِ أَوۡلِيَآءَ كَمَثَلِ ٱلۡعَنكَبُوتِ ٱتَّخَذَتۡ بَيۡتࣰاۖ وَإِنَّ أَوۡهَنَ ٱلۡبُيُوتِ لَبَيۡتُ ٱلۡعَنكَبُوتِۚ لَوۡ كَانُواْ يَعۡلَمُونَ

Mfano wa walio wafanya walinzi badala ya Mwenyezi Mungu, ni mfano wa buibui alivyo jitandia nyumba. Na hakika nyumba dhaifu mno kuliko zote ni jumba la buibui, laiti kuwa wanajua.

Kijana wa kiislamu Kijana Wa Kiislamu Kijana Wa Kiislamu Maulid Bin Swaleh Maulid Bin Swaleh TMYF Arusha The Islamic Foundation - Based in Tanzania

Address

Arusha
23105

Opening Hours

Monday 05:00 - 21:00
Tuesday 05:00 - 21:00
Wednesday 05:00 - 21:00
Thursday 05:00 - 21:00
Friday 05:00 - 21:00
Saturday 05:00 - 21:00
Sunday 05:00 - 21:00

Telephone

+255756716511

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kijana wa kiislamu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Kijana wa kiislamu:

Share