Green Awareness Club

Green Awareness Club Award winning Environmental Club that educates and empower communities to conserve Forests and Environment. By .foundation

Green Awareness Club Champions Environmental Stewardship at Nelson Mandela Marathon 202619 July 2026Green Awareness Club...
20/07/2026

Green Awareness Club Champions Environmental Stewardship at Nelson Mandela Marathon 2026

19 July 2026

Green Awareness Club proudly participated as one of the organizing partners of the Nelson Mandela Marathon 2026, reaffirming its commitment to promoting environmental sustainability alongside community health and development.

During the marathon, the Club conducted an environmental awareness campaign focused on educating participants, spectators, and volunteers on the importance of protecting the environment through responsible waste management and reducing plastic pollution.

As part of the initiative, Green Awareness Club members actively engaged in:

- Providing environmental conservation education to marathon participants and the public.

- Raising awareness on reducing and properly managing plastic waste.

- Collecting and sorting waste generated during the event to ensure a clean and healthy environment.

The Club believes that sporting events offer an excellent platform to inspire communities to adopt environmentally responsible practices. Through this initiative, Green Awareness Club contributed to making the Nelson Mandela Marathon 2026 not only a celebration of fitness and science but also a model for sustainable event management.

Green Awareness Club extends its sincere appreciation to the marathon organizers, volunteers, participants, and partners for their collaboration and commitment to creating a cleaner and greener future.

Together for a Cleaner Environment. Together for a Sustainable Future.

Green Awareness Club
Clean environment, Green Awareness

Thanks
Thanks ticd for the collaboration

25/06/2026

đź“° MIAKA MINNE YA GREEN AWARENESS, YAADHIMISHWA KWA ZIARA MAALUM YA DODOMA-BUNGENI NA MWALIKO WA WAZIRI

Green Awareness Club inatoa shukrani za dhati kwa Mheshimiwa Waziri wa Maliasili na Utalii, , kwa kutupatia mwaliko maalum k**a wadau wa Wizara katika ziara yetu ya mwaka ya Dodoma–Bungeni Tour 2026.

Sisi k**a Green Awareness Club tunaendelea kutekeleza dhamira yetu ya kuelimisha, kuhamasisha na kuwezesha jamii katika uhifadhi wa misitu na utunzaji wa mazingira kwa maendeleo endelevu ya Taifa.

Picha hizi zinaonesha baadhi ya matukio yaliyofanyika ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati wa ziara hiyo, ambayo imekuwa sehemu muhimu ya kujifunza kuhusu uongozi, utawala bora na ushiriki wa wananchi katika maendeleo ya nchi.

Ziara ya Dodoma–Bungeni ni utaratibu wa kila mwaka wa taasisi yetu katika kuadhimisha maadhimisho ya kuanzishwa kwa Green Awareness Club, huku ikitoa fursa kwa wanachama na wadau kupata uzoefu, maarifa na msukumo wa kuendelea kuwa mabalozi wa uhifadhi wa mazingira nchini Tanzania.

Green Awareness Club "Mazingira Safi, Mazingira ya Kijani"

Cc. Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Utalii - Tanzania🇹🇿
Bunge Dodoma Leadership EnvironmentalConservation Tanzania

24/06/2026

GREEN AWARENESS CLUB Outreach

Green Awareness Club – Tawi la FTI ilifanya ziara ya elimu ya mazingira katika Shule ya Msingi Olmotonyi, Arusha siku ya Ijumaa tarehe 19 Juni 2026. Ziara hiyo ililenga kuhamasisha wanafunzi na jamii kuhusu umuhimu wa uhifadhi wa Misitu na Mazingira pamoja na kushiriki shughuli za upandaji miti.

Malengo ya ziara;

- Kuelimisha jamii kuhusu uhifadhi wa mazingira.

- Kuhamasisha ulinzi na utunzaji wa misitu.

- Kuwezesha maisha endelevu kupitia mafunzo ya mazingira.

Shughuli zilizotekelezwa;

- Kutoa elimu kwa wanafunzi kuhusu umuhimu wa misitu na mazingira.

- Mafunzo ya vitendo kupitia shughuli ya kupanda miche ya miti.

- Kupiga picha za kumbukumbu pamoja na wanafunzi na walimu.

Hitimisho Ziara hii imeonesha dhamira ya Green Awareness Club – FTI ya kuwafikia wanafunzi na jamii kwa ujumla ili kujenga uelewa wa mapema kuhusu uhifadhi wa mazingira na matumizi endelevu ya rasilimali za misitu. Kupitia shughuli hizi, club inaendelea kuunga mkono juhudi za taifa katika kulinda mazingira kwa vizazi vya sasa na vijavyo.

"Clean Environment, Green Environment" 🌿🌳
"Mazingira Safi, Mazingira Kijani" 🌱🌳

Imetolewa na:
Green Awareness Club – FTI
Tarehe 19 Juni 2026

24/06/2026
đź“° MIAKA MINNE YA GREEN AWARENESS, YAADHIMISHWA KWA ZIARA MAALUM YA DODOMA-DODOMA NA MWALIKO WA WAZIRIGreen Awareness Clu...
30/05/2026

đź“° MIAKA MINNE YA GREEN AWARENESS, YAADHIMISHWA KWA ZIARA MAALUM YA DODOMA-DODOMA NA MWALIKO WA WAZIRI

Green Awareness Club inatoa shukrani za dhati kwa Mheshimiwa Waziri wa Maliasili na Utalii, , kwa kutupatia mwaliko maalum k**a wadau wa Wizara katika ziara yetu ya mwaka ya Dodoma–Bungeni Tour 2026.

Sisi k**a Green Awareness Club tunaendelea kutekeleza dhamira yetu ya kuelimisha, kuhamasisha na kuwezesha jamii katika uhifadhi wa misitu na utunzaji wa mazingira kwa maendeleo endelevu ya Taifa.

Picha hizi zinaonesha baadhi ya matukio yaliyofanyika ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati wa ziara hiyo, ambayo imekuwa sehemu muhimu ya kujifunza kuhusu uongozi, utawala bora na ushiriki wa wananchi katika maendeleo ya nchi.

Ziara ya Dodoma–Bungeni ni utaratibu wa kila mwaka wa taasisi yetu katika kuadhimisha maadhimisho ya kuanzishwa kwa Green Awareness Club, huku ikitoa fursa kwa wanachama na wadau kupata uzoefu, maarifa na msukumo wa kuendelea kuwa mabalozi wa uhifadhi wa mazingira nchini Tanzania.

Green Awareness Club "Mazingira Safi, Mazingira ya Kijani"

Cc.
Bunge Dodoma Leadership EnvironmentalConservation Tanzania

Tafadhari karibu 💚Sikiliza Wimbo wetu Mpya wa Mazingira 🌍🌱
16/05/2026

Tafadhari karibu đź’š
Sikiliza Wimbo wetu Mpya wa Mazingira 🌍🌱

A powerful environmental anthem inspiring communities to protect na...

15/05/2026

KIJANI NI MAISHA
By Green Awareness Club

A powerful environmental anthem inspiring communities to protect nature, conserve forests and promote sustainable living for a greener future.

🎵 “Mazingira safi, Mazingira ya Kijani.”

Tulifanya, tukajifunza, tukahamasika!Webinar yetu ya “Vijana na Uchumi wa Kijani” imefanyika kwa mafanikio makubwa LIVE ...
03/05/2026

Tulifanya, tukajifunza, tukahamasika!
Webinar yetu ya “Vijana na Uchumi wa Kijani” imefanyika kwa mafanikio makubwa LIVE kupitia TikTok pamoja na washiriki waliokuwepo ukumbini FTI Arusha.

Tulijadili fursa za ajira, ubunifu wa kijani, na namna vijana wanavyoweza kugeuza mazingira kuwa chanzo cha kipato. 🌱💼

Tunawashukuru sana wazungumzaji wetu, washiriki wote online na offline kwa mchango wenu mkubwa. Hii si mwisho—ni mwanzo wa hatua mpya!

•Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa “Vol. 2” inayokuja hivi karibuni.
•Usibaki kuwa mtazamaji, kuwa sehemu ya mabadiliko!

Hii ni nafasi yako kubadilisha mtazamo wa maisha!Unatafuta fursa ya kipato, skills za future, na connection?Basi usikose...
01/05/2026

Hii ni nafasi yako kubadilisha mtazamo wa maisha!
Unatafuta fursa ya kipato, skills za future, na connection?

Basi usikose mjadala wetu LIVE kuhusu:
“Vijana na Uchumi wa Kijani” 🌱

👉 Jifunze jinsi ya:
Kugeuza mazingira kuwa chanzo cha pesa đź’Ľ
Kuanza hata bila mtaji mkubwa
Kujenga skills zinazohitajika sasa na baadaye
🎥 Tutaenda LIVE – usikose!
📲 Share na rafiki yako 1 anayependa maendeleo
Usiwe mtazamaji tu… kuwa sehemu ya suluhisho! 💚

Shiriki kupitia TikTok live
https://www.tiktok.com/.club

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Green Awareness Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Green Awareness Club:

Shortcuts

Share