Iyanna Foundation

Iyanna Foundation And as a preventive measure, to create awareness among teenage girls and boys.

IYANNA Foundation is an organization based in Tanzania working to give a second chance and to restore dignity to young girls who drop out of school due to teenage pregnancies.

18/05/2026

Protect. Educate. Empower. ✨
Tukielimisha jamii na kulindana, tunaweza kuzuia ukatili na kujenga dunia salama kwa kila mmoja. 🕊️
Mabadiliko yanaanza na sisi. ✋🏾❤️

17/05/2026

“Tunamshukuru Mungu kwa nguvu, afya na nafasi ya kuendelea kuitumikia jamii kila siku 🙏✨ Kila hatua tunayopiga ni neema yake.”

14/05/2026

Mabadiliko yanaanza na mimi, yanaanza na wewe, yanaanza na sisi. Tusimame pamoja kupinga ukatili na kujenga jamii salama kwa kila mmoja. 🤝✨

13/05/2026

Mabadiliko ya kweli yanaanza na hatua unayochukua wewe leo! ✊🏾
​Tunawakaribisha wadau wote na wapenda maendeleo katika kongamano maalum la Kupinga Ukatili kupitia Uongozi wa Mguso. Hii ni nafasi muhimu kwa wadau kukutana, kubadilishana mawazo, na kuimarisha harakati za kuleta usalama na usawa katika jamii yetu.
​📍 Mahali: Meru Primary School
📅 Tarehe: 16 May
🕒 Muda: 3:00 Asubuhi – 8:00 Mchana
​Jukumu lako ni muhimu. Ewe mwanajamii na mdau wa mabadiliko, fika bila kosa!
​ Arusha Tanzania

Monitoring and evaluation at kimaseki27 February 2026
27/02/2026

Monitoring and evaluation at kimaseki
27 February 2026

Coaching sessions ofTribunal leaders 27 February 2026
27/02/2026

Coaching sessions ofTribunal leaders
27 February 2026

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Iyanna Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share