Arise_and_shine-international

Arise_and_shine-international ARISE_AND_SHINE-INTERNATIONAL
-Ni taasisi iyo ya kiserikali (N.G.O) ambako hukutanisha vijana mbali mbali wanao penda maendeleo yao na ya jamii yao kwa ujumla.

Na taasisi hii ilianzishwa 16/02/2020.

09/05/2023

MSHIKE SANA ELIMU PROJECT🇹🇿

25/04/2023

MEET THE TEAM

_Uongozi wa *ARISE AND SHINE AFRICA INTERNTAIONAL🇹🇿* tunayo furaha sana kukualika kwenye project mpya inayo kwenda kwa *...
28/03/2023

_Uongozi wa *ARISE AND SHINE AFRICA INTERNTAIONAL🇹🇿* tunayo furaha sana kukualika kwenye project mpya inayo kwenda kwa *MSHIKE SANA ELIMU* kuenda kutembelea shule wanafunzi wa shule ya msingi iliyopo mkoa wa *KATAVI, MLELE🇹🇿* kuenda kuwapatia wanafunzi wa shule hii mahitaji maalum ikiwemo: *VIFAA VYA SHULE || MADAWATI || NGUO ZA SHULE❤️* kwasababu shule hii inapitia wakati mgumu sana kuhakikisha elimu ya wadogo zetu kufikia na kumpelekea wanafunzi hawa kushindwa kufikia malengo yake_

*TUNAKUKARIBISHA SANA, KUUNGANA PAMOJA NASI KUCHANGIA KITU CHOCHOTE UTAKACHO JALIWA NACHO*



MAISHA YETU KWAAJILI YA WENGINE💪
07/03/2023

MAISHA YETU KWAAJILI YA WENGINE💪

Dressing code🔥       🇹🇿
07/03/2023

Dressing code🔥




🇹🇿

TEAM ZANZIBAR
07/03/2023

TEAM ZANZIBAR



MUNGU IBARIKI ARISE AND SHINE AFRICA INTERNATIONAL, MUNGU IBARIKI WATU WAKE🇹🇿
07/03/2023

MUNGU IBARIKI ARISE AND SHINE AFRICA INTERNATIONAL, MUNGU IBARIKI WATU WAKE🇹🇿





Tunamshukuru MUNGU sana kile tulicho kianda kuwapatia watoto kiliweza kukidhi kwa kila mtoto🙏
07/03/2023

Tunamshukuru MUNGU sana kile tulicho kianda kuwapatia watoto kiliweza kukidhi kwa kila mtoto🙏

TUMEBARIKIWA TUWABARIKI WENGINE
07/03/2023

TUMEBARIKIWA TUWABARIKI WENGINE

Tunamshukuru sana MUNGU tuliweza kuwafikia watoto ambao kiukweli walikuwa na changamoto kubwa sana hasa kwenye elimu wal...
07/03/2023

Tunamshukuru sana MUNGU tuliweza kuwafikia watoto ambao kiukweli walikuwa na changamoto kubwa sana hasa kwenye elimu walio kuwa nayo kukosa vifaa vya shule

🇹🇿
😇

Tulifunga safari yetu kuelekea   kwenda kuwatembelea watoto wanao ishi katika mazingira magumu  🇹🇿  😇
07/03/2023

Tulifunga safari yetu kuelekea kwenda kuwatembelea watoto wanao ishi katika mazingira magumu

🇹🇿
😇

Address

Arusha

Telephone

+255762013187

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arise_and_shine-international posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Arise_and_shine-international:

Share