Talii Kaskazini

Talii Kaskazini Ukurasa rasmi kwa ajili ya kampeni ya kukuza na kuhamasisha utalii wa ndani katika kanda ya kaskazini

It’s a wrap!A heartfelt thank you to everyone who visited the Tanzania Tourist Board booth at KiliFair 2026 and engaged ...
09/06/2026

It’s a wrap!

A heartfelt thank you to everyone who visited the Tanzania Tourist Board booth at KiliFair 2026 and engaged with us at the Ministry of Natural Resources and Tourism exhibition space.

Your interest, conversations, and passion for Tanzania’s tourism offerings continue to inspire us. We were delighted to share the beauty, culture, wildlife, and unforgettable experiences that make Tanzania a world-class destination.

Until we meet again, karibu Tanzania,

Putting Tanzania on the Global Tourism Map! 🌍 At   International Tourism Expo (MITE)2025 (24-26 April), we're not just s...
26/04/2025

Putting Tanzania on the Global Tourism Map! 🌍

At International Tourism Expo (MITE)2025 (24-26 April), we're not just sharing brochures—we're building global awareness of Tanzania’s unmatched wonders! 🏆 From the Serengeti’s great migration to Zanzibar’s turquoise shores, we’re showcasing why Tanzania is a must-visit destination.

Tukiwa tunaendelea na kampeni ya Kukuza Utalii wa ndani mashuleni, Bodi ya Utalii Tanzania, Kanda ya Kaskazini, siku ya ...
23/01/2024

Tukiwa tunaendelea na kampeni ya Kukuza Utalii wa ndani mashuleni, Bodi ya Utalii Tanzania, Kanda ya Kaskazini, siku ya Jana 22/01/2024, tulitembelea shule ya Themi Secondary na kukutana na wanafunzi zaidi ya 400 kutoa Elimu ya vivutio vya Utalii vilivyopo nchini.

Tunatoa shukrani kwa Uongozi mzima wa shule ya Sekondari Themi pamoja na wanafunzi wote, waliojumuika nasi.

Tembea Tanzania na Bodi ya Utalii

Tukiwa tunaendelea na kampeni ya kukuza Utalii wa ndani, tunawashukuru watu wote walioungana nasi siku ya Jana katika ki...
23/01/2024

Tukiwa tunaendelea na kampeni ya kukuza Utalii wa ndani, tunawashukuru watu wote walioungana nasi siku ya Jana katika kipindi cha Utalii, Redio Safina (Tembelea Tanzania). Kipindi kilifana sana, tunatumai wengi mlijifunza na kupata kuielewa Makumbusho ya Elimu viumbe iliyopo katika Jiji la Arusha.
Tukutane wiki ijayo, Usipange kukosa.

na Bodi ya Utalii (TTB).

Tunawashukuru watu wote walioungana nasi siku ya Jana katika kipindi cha Utalii TBC 1 FM Arusha (Tembelea Tanzania). Kip...
18/01/2024

Tunawashukuru watu wote walioungana nasi siku ya Jana katika kipindi cha Utalii TBC 1 FM Arusha (Tembelea Tanzania). Kipindi kilifana sana, tunatumai wengi mlijifunza na kupata kuielewa Hifadhi ya Taifa Arusha (Arusha National Park).

Tukutane wiki ijayo, Usipange kukosa.
kaskazini na Bodi ya Utalii (TTB).

Usikose kipindi hiki pendwa Cha Utalii wa ndani kitakachokujuza fursa mbalimbali za Utalii katika nchi yetu. Utalii wa n...
16/01/2024

Usikose kipindi hiki pendwa Cha Utalii wa ndani kitakachokujuza fursa mbalimbali za Utalii katika nchi yetu. Utalii wa ndani unaanza wa wewe Mtanzania

Usipange kukosa mahojiano na maafisa Utalii Kanda ya kaskazini ndani ya TBC Redio yenye lengo la kukuza uelewa wa Utalii...
15/01/2024

Usipange kukosa mahojiano na maafisa Utalii Kanda ya kaskazini ndani ya TBC Redio yenye lengo la kukuza uelewa wa Utalii wa ndani na kujua vivutio vya Utalii Tanzania.

Have you visited Ngorongoro Conservation Area Authority?Umewahi kutembelea Mamlaka ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro? 📷  ...
14/04/2023

Have you visited Ngorongoro Conservation Area Authority?

Umewahi kutembelea Mamlaka ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro?

📷

Northern Tanzania is a must visit, It's a place you will love and experience the best in just a short period of time.Tem...
12/04/2023

Northern Tanzania is a must visit, It's a place you will love and experience the best in just a short period of time.

Tembelea Vivutio vya kaskazini uweze kufurahia uzuri wa Tanzania .

Karibu Tanzania .

🇹🇿

📷

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Talii Kaskazini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share